YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Ukristo ni ufuasi wa Kristo sio kumfuata Petro uelewe hilo.Petro mwamba alisurubiwa wapi? Hakuna Ukristo bila kanisa katoliki, hili unajidanganya mwenyewe.
Ukristo sio kumfuata Papa wala Petro wala kiongozi yeyote wa Kanisa awe Petro au papa au mtume au nabii au mchungaji au padre au sista au paroko
Petro alisulubiwa na Waroma ambai ndio.walioua Yesu .Kusafisha uharamia wao ndio wakaja kuibuka ohh Papa Petro alifia Roma ndiko kunatakiwa kuwa makao makuu ya Ukristo maruhuni wakubwa walimuua wao wenyewe halafu wanasema ohh kiti cha Papa kinatakiwa kuwa alipofia Petro kwenye kaburi walilomuua wenyewe na kumxika wenyewe
Madhehebu mengine huo utapeli hatuukubali makao makuu ya Ukristo yako Israel ulikoanzia Ukristo sio Roma kwa wauaji wa kirumi waliohukumu Yesu kufa kupitia Mrumi mwenzao Ponsio Pilato ,na Askari wa kirumi wakamtesa na kumsulubisha Yesu na kumuua na wakamwuua Petro halafu baadaye wadai ohhh sisi ndio kanisa la kwanza Huo utapeli mtapeliane wakatoliki tu huko.Madhehebu mengine tunajielewa Wayahudi hawakuua Yesu walala Petro ndio wakristo Madhehebu yote tunaheshimu sana watahudi lakini sio waroma
Na kuhiji tunaenda Israel kwa wayahudi sio Roma kwa wauaji wa Yesu na Petro