Naomba leo mniache niseme na Wasabato, nimeamua kuamka nao leo

Naomba leo mniache niseme na Wasabato, nimeamua kuamka nao leo

Wasome hata Biblia Yesu alifanya nini kwenye nyakati kama hizo:

Akawajibu, Baba yangu anatenda kazi hata sasa, nami ninatenda kazi.

Basi kwa sababu hiyo Wayahudi walizidi kutaka kumwua, kwa kuwa hakuivunja sabato tu, bali pamoja na hayo alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu. Basi Yesu akajibu, akawaambia, Amin, amin, nawaambia,
Yohana 5:17‭-‬18 SRUVDC
 
Tatizo wana theolojia wengi hujikita zaidi kwenye historia ya kanisa katoliki sio historia ya Ukristo kwenye Biblia

Kwa hiyo wana theolojia wengi huelezea historia ya Ukristo kama historia ya kanisa la Roman Catholic

Wanaanza na u roman Catholic ulivyoanza na baadaye kugawanyika na kuongelea madhehebu yaliyoibuka kutokea Ukatoliki na kujifanya wasomi wa Historia ya kanisa

Historia ya kanisa haianzii kwenye mwanzo wa kanisa katoliki.Hilo lilianzishwa miaka kibao toka Yesu afe ,kusulubiwa na kufufuka ni dini ilikuja baadaye sana tena mno

Ndio maana hupotoka wakiongelea historia ya Ukristo

Wanajikita kuongelea historia ya kanisa la Roman Catholic badala ya historia ya Ukristo
Petro mwamba alisurubiwa wapi? Hakuna Ukristo bila kanisa katoliki, hili unajidanganya mwenyewe.
 
mimi ni muislamu katika wakristo ni bora wasabato kuliko dini za kikiristo zoote romankatolik ndio ovyoo ya mwisho duniani
 
Mzee me sitaki kuwapangia maisha lakn najaribu kuwaza kwa sauti,inakuaje kanisani jumamosi hio hio unaenda kutoa sadaka ili mchungaji aishi halafu ww hutak kuuza maji
huwezi kuwapangia watu waishi unavyotaka wewe
 
HUwez amini yaan kanikuta lilipo bomba ye anakua kwa ndan mnaongea kwny tundu la ukuta,asee kanambia hawauzi kisa leo sabato,yan nshu km maji ambayo unajua umuhimu wake ila dini yako ya mapokeo inakukataza kuuza maji kwa jirani yako
Wasabato wenzangu tunafeli wapi ,tusiifanye sabato kua mzigo ndugu zangu , angetakiwa afungue mlango msalimiane kwa upendo akuruhusu kuchota maji ,alafu wakati wakumpa pesa akuambie leo nisabato siuzi maji hayo nimekusaidia ,ingekusaidia wew pia kujua kumbe siku ya sabato maji hayauzwi, pole sana kwakukwazwa
 
MIMI SIO MSABAYO ILA NAHESHIMU ITIKADI ZAO,HUPUNGUKIWI KITU UKIHESHIMU UTARATIBU WA MTU,LEO IMEKUKUTA SABATO SABABU SIKU YA SABATO HAWAFANYI KAZI MPAKA SAA 1 JIONI.HAWA NDUGU HATA KUPIKA HAWAPIKI SEMBUSE KUKUUZIA MAJI.
Mm nimsabato nazani huyo msabato mwenzangu kakosea ,angetakiwa ampe maji bure nakumwambia leo nisabato siuz maji ,ingemsaidia sik nyingine kujua kua leo nisabato majirani hawauzi maji, lakini muuza maji angefanya jambo la huruma na laupendo ,sabato njema
 
Aliyekunyima maji Yuko sahihi Kwa sababu zifuatazo.
1. Uumbaji. Mungu aliumba mbingu na nchi Kwa siku sita na siku ya saba siku ya sabato mungu alipumzika na kustarehe hakufanya kazi yoyote.
2. Kutakasa sabato. Mungu kaagiza katika amri kumi kwamba ikumbuke siku ya sabato na uitakase usifanye kazi yoyote wala mnyama wako wala mgeni aliye ndani ya malango yako wala chochote ulichonacho kisifanye kazi siku ya sabato.
Hoyo mama hakufanya vizuri kwanini asingempa maji bure nakumwambia leo nisabato hatuuzi maji , Wasabato tunaufanya unjilisti kua kitu kigumu sana
 
Mm nimsabato nazani huyo msabato mwenzangu kakosea ,angetakiwa ampe maji bure nakumwambia leo nisabato siuz maji ,ingemsaidia sik nyingine kujua kua leo nisabato majirani hawauzi maji, lakini muuza maji angefanya jambo la huruma na laupendo ,sabato njema
Maji anauza. Ni biashara. Mbona waislamu saa ya kuswali maduka hayaachwi wazi mchukue bure? Wewe siku ya sabato unatoaga vitu bure? Acha unafiki kwa msabato mwenzio.
 
Maji anauza. Ni biashara. Mbona waislamu saa ya kuswali maduka hayaachwi wazi mchukue bure? Wewe siku ya sabato unatoaga vitu bure? Acha unafiki kwa msabato mwenzio.
Nikweli nibiashara lakin ndio maana siku ya sabato hauzi kwasababu ya imani yake , so yeye angempa maji bure kuliko kumnyima,
 
Nikweli nibiashara lakin ndio maana siku ya sabato hauzi kwasababu ya imani yake , so yeye angempa maji bure kuliko kumnyima,
Sasa ikishakuwa biashara unatoaje bure? Ndo nimeuliza siku ya sabato wewe unatoa vitu bure?
 
Back
Top Bottom