Naomba list ya Machimbo ya huduma ya massage inayoinclude Happy Ending

Hizo huduma zipo Kila mahali Siku hizi, muhimu uandae kifuta jasho kisichopungua 100k.

Mwaka 47 wakati ndiyo zinaanza anza hizo huduma, niliwahi kutembelea

Nilifanya kosa kutembea na cash nyingi Siku hiyo

Isingekuwa nyingine kuzificha kwenye Soksi, ningetembea Kwa miguu kutoka Posta hadi Mbezi Msakuzi Kwa kukosa nauli 🙌
😊😊🌝

Haaahaa
 
Siku hizi hiyo 100k ni nyingi mnoo, igawe 30 massage, 20k happy ufala!
 
Nilienda moja hivi, saloon wamejaa wanawake kuliko wanaume. Nikaingia. Nafika kuna viti vitatu vya kunyolea vyote vina wateja. Wakanielekeza pahala pa kukaa nasubiri zamu.

Nimekaa nashika simu, kaja mdada anaanza nivua viatu eti wanisafishe miguu. Nikakausha kama mweyeji. Viatu vikatolewa, sox zikavuliwa vikaenda anikwa nje.

Ikaja kama beseni, sabuni ya maji na dodoki laini me nikaanza safishwa miguu. Nimetulia tulii.

Baadae nikanyolewa. Namaliza mdada ananiambia twende nikakuoshe. Kule nikavuliwa shati. Nguo ikawekwa pembeni. Akauliza unaosha na scrub nikasema ndioo. Nikaanza suguliwa uso na shingo. Raha sana. Saana.

Mwisho nikapewa namba for massage anakufuata ulipo. Sema nilifuta.

Ilikuja bili nikasema Yesu ni Mwokozi.
20250903_072431.jpg
 
😀 😀 😀 Hapo kwenye ilipokuja bili nimecheka hadi wananishangaa
 
Siku hizi hiyo 100k ni nyingi mnoo, igawe 30 massage, 20k happy ufala!
Inaonekana una negotiations skills ya hali ya juu aisee 🤗

Hiyo 100k ndiyo bei wakati huduma ndiyo inaanza anza Mwaka 47

Kuna Mzee mwenzangu mmoja wakati ndiyo tumelipwa pension yetu enzi za NSSF, aliwahi kupigwa milioni kadhaa na mabinti wa humo humo

Anasema ilikuwa mara yake ya kwanza kuimbiwa na maiki mtumbuizaji akitumia zile Pipi zenye ubaridi

Baada ya pale, begi lenye pension yake hakuliona tena zaidi ya kujikuta anatangazwa ITV kuwa amepotea 🙌
 
Back
Top Bottom