Barbershop zote zina hiyo huduma. Zingine zina wadada wazuri hadi unaweza hamia huko kila wiki unanyoa kwa pesa isiyopungua 50,000 kwa mwezi hadi 500,000.Mbona hamuweki machimbo sasa tukasuguliwe au massage kiswahili ni nini.
Hawalipwi mshahara wanawekewa malengo kama bodaboda. Mipigo yao ni huko kwenye Happy ending.Nilikua najiuliza sana,hizi barbershop unakuta wafanyakazi 7 wa 5 kati yao wanawake,zinalipa mishaharara kwa hiyo elf 5 ya kunyoa tu? loooh 😅
dhambiMalegends, Naombeni list nina kazi nayo personally.
katekaa Jeeeena la YeesoRoho ya uzinzi na uasherati, Shiiindwa kwa jina la Yesu.
👀katekaa Jeeeena la Yeeso
Pegeea Yesooo Makofeeeee