Nikwambie kitu, usikubali kuyafanya maisha yako magumu. Wewe endelea na imani yako, Achana na biashara za WatuHuwa napata shida sana tangu niko mtoto na hii inaniumiza sana binafsi mm Siamini dini yeyote kati ya ukristo wala uislamu sasa hivi mnaavyosema ety Jerusalem maka na madina ni miji mitakatifu mna maana gan kwaiyo huku kwetu africa dar es salaam nairobi Accra Lusaka adis Ababa Kampala Ni miji ya laaan........
Jiji limejaa mashogaHuku dar mungu hasikiii dua
Wafia dini mkishindwa kujibu hoja mnakimbilia matusi, na kupaniki, kwani ktk hayo mahekalu yenu ya kidini hamfundishwi jinsi ya kuwaelimisha watu wasioelewa hizo Imani zenu. Kuna sababu ya kukagua hayo mafundisho yenu maana Kila mfia dini lazima apate hasira akiona dini inahojiwa, hampendi watu waujue ukweli.Swali la kipuuzi sana , ukisema Mwanamke Fulani mzuri basi inamaanisha Wanawake wote wengine wabaya ?
Miji mingine sio mitakatifu tu na Wala haisemwi kuwa ina laana.
Huo ukristo unaofundisha Yerusalemu ni mji mtakatifu uangaliwe kwa jicho la pili.Huwa napata shida sana tangu niko mtoto na hii inaniumiza sana binafsi mm Siamini dini yeyote kati ya ukristo wala uislamu sasa hivi mnaavyosema ety Jerusalem maka na madina ni miji mitakatifu mna maana gan kwaiyo huku kwetu africa dar es salaam nairobi Accra Lusaka adis Ababa Kampala Ni miji ya laaan........
Ndo mnavojidanganya kwamba ukristo umekuja na colonialismDini zimekuja Afrika juzi tu kipindi cha utumwa
Wewe unadhani point ya missionaries ilikuwa ni nini? Tell me.Ndo mnavojidanganya kwamba ukristo umekuja na colonialism
IGNORANCE [emoji706]
Wewe na hizo dini nani wa kwanza kuwepo? Alafu maneno haya huwa mnayatumia kwenye kupinga dini tu ila vitu vingine vya wazungu wala sio vibaya hapo ulipo unatumia Simu,kwako kuna Tv,Una nguo kibao hapo ulipo hauvai majani,unajua kusoma na kuandika hivyo nilivyovitaja ni vichache vyote havina Asili ya Mwafrika watu wenye mawazo kama yako naitimisha kwA kusema hamna Akili Hamjitambui.Kama tungetawaliwa na wachina+wahindi usingepata mawazo ya kwenda uarabuni kuhiji wala kuita ardhi ya middle east kuwa ni takatifu, Bali huko India/china ndiko ungeona ndiko kutakatifu, Sasa jibu unalo, kama Kila dini inavutia upande wake je usahihi ni upi?
Dini zimekuja Afrika juzi tu kipindi cha utumwa, Sasa kwa maelfu ya miaka kabla ya hizo TAKATAKA zao za ukristo na uislam waafrika waliabudu Nini na kuabudu wapi?,
Jibu ni kuwa watu wameshakuwa programed na mifumo ya wazungu&waarabu, ambayo inatumika kuwatawala, kuwagawanya, kuwagombanisha na kuwaangamiza huku mali zikiibwa kweupe kabisa.
Kama demokrasia ingewekwa ktk hizo dini, mfano ungewepo upendeleo ktk maandiko ya dini zao kuwajumuisha na watu weusi ktk stories hizo za kuwepo manabii weusi, malaika weusi, miji mitakatifu Afrika, mnadhani Leo hii waafrika wangesumbuka na hizo ngonjera za kuwasujudu wazungu na kuipuuza Afrika?
Waafrika wengi wasingekuwa wakimbizi kwa kuikimbia Afrika maana wangeamini hata Afrika pia ni teule na takatifu, pia wapo ambao wangeamini kuleta maendeleo Afrika maana ndiko kutakatifu, bila kuwasahau wale wanaoombea wangeiombea Afrika kama wafanyavyo Leo kuombea hiyo miji waliyokalilishwa ni mitakatifu, pia waafrika wasingetawalika kirahisi wala kugawika,
Hivyo basi, Kila andiko ktk dini liliwekwa mahususi kwa kuprogram akili hasa ya mtu mweusi, kumfanya aidharau Afrika, awadharau waafrika wenzie na kuwaona watu weupe ndie watu wa kipekee dunian, vile vile dini hizo hizo zimeharibu akili za watu weusi wajione wao ni wakosaji ambao wamekuja duniani kwa bahati mbaya, kumbe ndivyo sivyo.
Ukishakuwa mfuasi wa dini yoyote Ile, tambua kuwa wewe ni mtumwa wa kundi Fulani hapa dunian ambalo linataka kukutawala na kukupeleka vile litakavyo na si inavyotakiwa uwe.
Dini ni mfumo wa kishetani ambao unatawala dunia nzima hasa Africa kwa malengo ya kuharibu ASILI ya Ulimwengu na watu weusi.
Achaneni na utumwa wa ukristo na uislam mnapotezewa muda wenu