Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Inakuwaje unataka majibu kwenye mambo yasiyo kuhusu! Mimi naona mambo yao ungewaachia wenyewe. Au hiyo miji ya Afrika na yenyewe ikitambulika kama miji mitakatifu, itakuvutia na wewe kuwa muumini wa dini fulani?Huwa napata shida sana tangu niko mtoto na hii inaniumiza sana binafsi mm Siamini dini yeyote kati ya ukristo wala uislamu sasa hivi mnaavyosema ety Jerusalem maka na madina ni miji mitakatifu mna maana gan kwaiyo huku kwetu africa dar es salaam nairobi Accra Lusaka adis Ababa Kampala Ni miji ya laaan........