Naomba majibu tafadhali watu waminio dini hizi 2 yan ukristo na uislamu

Inakuwaje unataka majibu kwenye mambo yasiyo kuhusu! Mimi naona mambo yao ungewaachia wenyewe. Au hiyo miji ya Afrika na yenyewe ikitambulika kama miji mitakatifu, itakuvutia na wewe kuwa muumini wa dini fulani?
 
katika uhalisia biblia haisemi yerusalem kama mji mtakatifu ni uzushi tu,
Yerusalem ni mji mtakatifu kwa sababu Mfalme Suleiman alijenga nyumba ya Mungu kama alivyoagizwa baba yake Mfalme Daudi. Pamoja na hilo Hekalu alilojenga lilikuwa na mahali Patakatifu na ndani zaidi palikuwa na mahali Patakatifu pa Patakatifu. Kasome vizuri biblia yako. La sivyo kama una maana kuwa 'Kaaba ni patakatifu lakini siyo Mecca', sijui kama nimekuwlewa vizuri!
 
Nakazia✍️
 
asante sana umeshasema "palikuwa" inamaana sahivi hakuna, "pailijengwa" inamaana sahivi pamebomolewa sahivi hakuna hekalu wala sanduku la agano duniani baadhi ya aya za ufunuo zinaonesha hekalu kwasasa lipo mbinguni sanduku la agano lipo mbinguni na Jerusalem mpya ipo mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…