Naomba mama Samia atende haki. Kumtumbua Gekul unaibu waziri na kumuacha huyu waziri haipendezi

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Gekul ametumbuliwa unaibu waziri baada ya kutenda yasiyofaa katk jamii. Ni sawa.

Vipi huyu anayetukana watu hovyo kama mlevi? Ni sawa kuendelea kukikalia kiti cha uwaziri au aondolewe?

Waziri ni kioo cha rais. Sasa kama kila siku waziri anatukana hovyo mitandaoni tafsiri yake ni kwamba anamchafua mhe rais.



N.B. Naomba ndugu msomaji utuwekee tusi jingine alilolitoa Nape.
 
Huu ni upumbavu mkubwa mliokuja nao Chadema kwa sasa!
Kwamba mnaunda Cartel's kuwachokoza watu mitandaoni hususan wale msiowapenda halafu mnaanza upumbavu wa kutaka wajiuzuru wakati nyinyi kina Boni Mayai ndio mlioanza chokochoko!

Chadema mtabaki hivyo mpaka mwisho wa Dunia.Hakuna mpiga kura mwenye kujitambua anayeweza kupoteza muda wake na nyinyi wapuuzi wenye Roho za visasi mpaka kwenye kucha.
 
Yanazungumzika!
 
Mnamchokoza wenyewe mheshimiwa

Sawa alikosea ,alifeli ila watu hubadilikaa, hujifunza kwa makosa yao na within time huwa better persons.

Mnamkera acheni awakere
 
Ataongeza bei ya bando ooooohhhhhh

Ila kilaza tu
 
Nape aende!
 
Niliacha kumuamini huyo Mh kwa kushiriki kwenye kuminya uhuru wa vyombo vya habari
 
Gekul ametumbuliwa unaibu waziri baada ya kutenda yasiyofaa katk jamii. Ni sawa.
Kuna nchi nilikuwa nimeenda miaka ya huko nyuma na nilipita karibu na duka fulani lenye jina "Anything Goes" na hili jina lina maana hata hapa kwetu.
 
Tusi liko wapi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…