Naomba mawazo yako kwenye hili

Muunganishe na yeye Tena


Na unahisi kwa nn katolewa
 
Wanasema palipo na chuki wema ulitangulia na kumbuka binabamu wote tu wabinafsi kiwango ndo hutofautiana ndo maana hakuna anayeweza kufurahia mafaniko yako kwa asilimia mia moja.
Kwa maelezo yako inaonesha msongo wa mawazo ndo unamsumbua, sidhani kama huyo Rafiki yako ni mbaya kiasi hicho ila cha kushauri usimpe tena pesa fanya jitihada mtafutie kazi, ikishindikana mwachie Mungu yeye ndo hujua hatima ya kesho.
 
Mimi niliungwa na ndugu baadae nikaanza kuona napewa majukumu na kuombwa pesa kila muda nikisema sina Basi Ni lawama na maneno mabaya yanayovunja moyo nikaacha Ile kazi nikaanza biashara yangu ikawa afadhali.
 
Ndu sina connection yoyote Kama aliyokuwa nayo yeye, zaidi huwa namfowadia tu matangazo ya kazi nikiona linamfaa
 
Ndugu sina connection yoyote Kama aliyokuwa nayo yeye, zaidi huwa namfowadia tu matangazo ya kazi nikiona linamfaa
 
Mimi niliungwa na ndugu baadae nikaanza kuona napewa majukumu na kuombwa pesa kila muda nikisema sina Basi Ni lawama na maneno mabaya yanayovunja moyo nikaacha Ile kazi nikaanza biashara yangu ikawa afadhali.
Kiukweli waweza ona hiyo kazi ni msalaba
 
Ni ushauri mzuri

Hali ngumu na anaitaji kuombewa Ni stress anataka kuzitolea kwa jamaa

Ila anashindwa kujua ridhiki anatoa Mungu unapo msaidia MTU usitegemee kulipwa Mungu atakubariki kwa namna yke
Kama ni mizinga nimeanza kupigwa kabla hata hajaondolewa vi elfu hamsini vya dharura , namm nilikuwa Nampa bila hiyana
 
lazima ujue rafiki yako anapitia wakati mgumu sana kisaikolojia. unachopaswa kufanya ni kujaribu kumtafutia mtingo/kazi mahali ambapo wewe unachannel napo. mfano kwa marafiki zako wengine au ndugu zako.
 
Nesi paskazia alinichongea sana kwa boss..mwisho wa siku nikasimamishwa kazi...na leo naandika maneno haya paskazia nae hana kazi...MUNGU SIO ATHUMANI!
 
Una roho nyepesi sana na uko too emotional and sensitive ebu kaza kigodo mkuu au utaishi kwa tabu mpaka unakufa kwa kujilaumu na makosa ambayo sio yako, it's not your fault.

Life isn't fair but full of cruelty it means sometimes you'll have to be selfish so to survive.
.. That's My Quote.
 
Kama hakudhuru physically muache abwabwaje mpaka achoke.
Kikubwa ni kumpuuza na kukaa mbali nae. Ni stress za maisha tu hizo, akipata kazi atakuwa sawa.
 
Acha kazi uone kazi kupata kazi
 
Kampuni inapopunguza wafanyakazi,wanaangalia vigezo gani?ndiyo hivo walivotumia nadhani
Riziki !! Hii pekee ni jibu tosha kwake...
Mwenyeezi Mungu ndiyo humteremshea riziki amtakae !! Naye pia humtiririshia riziki ampendae ...
Weka Imani.kwa mola karimu
 
Mkuu saidia pale unapoweza,usipoweza kausha na usijali nani ataongea nini.
Unataka uache kazi then?...
Just grow wise and wiser mkuu.
 
lazima ujue rafiki yako anapitia wakati mgumu sana kisaikolojia. unachopaswa kufanya ni kujaribu kumtafutia mtingo/kazi mahali ambapo wewe unachannel napo. mfano kwa marafiki zako wengine au ndugu zako.
Sina ndugu yangu hiyo chanel,maana ningekuwa nayo ningesha pata kazi muda mrefu, ukizingatia ninekaa miaka zaidi ya mitano bila kazi yoyote
 
💯 percent nakubaliana na wewe , yaani nikikosana na mtu huwa nakosa amani Sana , Kama no kazini , nitapaona pachungu Sana, Niko radhi nijipendekeze ili tuwe na amani , ndivyo nilivyoumbwa ,nadhani ninudhaifu wangu naomba Mungu anisaidie sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…