Naomba mawazo yenu tumsaidie kuhusu magonjwa ya H Pylori na presha

Naomba mawazo yenu tumsaidie kuhusu magonjwa ya H Pylori na presha

Naxria abdalla

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2025
Posts
204
Reaction score
379
Naomba tumsaidie annzie wapi vipendhy

Screenshot_20260303_085425_Messages.jpg
 
Kamanda huyu ni wewe sio yeye? Anyway hapo inabidi uanze na presha kisha umalize na huyo mdudu sema huyo mdudu ana kipimo chake fulani hivi ni 5000 tu kinasoma halafu ana dawa yake ya kihindi sikumbuki jina inauzwa 100,000/- cash plus ya kunywa km 50,000/- kwa hio hapo hamna hamna andaa km 300,000/- za haraka na 200,000/- za dharula

Nasema hivyo sababu H Pylori ili atoweke inaabidi ubadirishe mazingira ya habitat yake kuanzia maji kwa hio utakua unanunua maji ya lita 10 au 20 na kunywa hayo tu mpaka una maliza dozi na hizo zote ni gharama, ukifanya kinyume chake hata umeze dawa na yeye yupo kwenye habitat ile ile ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu hatoki ng'o atajificha tu ukimaliza dozi anarudi na anatengeneza usugu wa dawa maana ataanza kuizoea hilo ni kosa
 

Ni tofauti na huyu??
Mkuu samahani nauliza hivi dawa za bawasiri hasa bawasiri ya ndani dawa za hospital na sawa za asili ipi Bora?
 
Back
Top Bottom