G
guest-1793599959
Guest
Hyo tabia yafaa iwe endelevu mkuu,usinywe kabisa.Dah kaka mwezi mtukufu huu sinywi pombe wala sisogelei maeneo ya ulevi .
Hyo tabia yafaa iwe endelevu mkuu,usinywe kabisa.Dah kaka mwezi mtukufu huu sinywi pombe wala sisogelei maeneo ya ulevi .
Insh'AllahHyo tabia yafaa iwe endelevu mkuu,usinywe kabisa.
Mkuu,wengi naona wanapona poa kwa hizi za mitishamba.Mkuu samahani nauliza hivi dawa za bawasiri hasa bawasiri ya ndani dawa za hospital na sawa za asili ipi Bora?
Unaweza kunitajia hata Moja mkuu?Mkuu,wengi naona wanapona poa kwa hizi za mitishamba.
Umenikumbusha mbali. Hii kitu si rahisikama vijana wanavyojiachia humu ndani. Ukiona unabeua ati gesi, jua imo