Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
We jamaa una ajira au ni jobless??Vishu Mtata soma hii paragraph uenda ikasaidia kidogo ku-unlock huo ubongo
Mbona fursa zipo kwa wote mkuu, hivi unajua ni kwa namna gani girls wanazisotea hizo ajira??
Ushawahi kua kwa ground na girls kwenye kusaka ajira ukaona the way wanalimwa ili kuzipata??
Unawaonea wanawake ila deepdown bado sana kufika level sawa na wanaume, yaani wanaume bado tuko juu yao mno, bado tuna maamuzi juu ya maisha yao hasa kwa hapa Tz.
Ila nyoe Wanaume waoga waoga ndo mnataka kamseleleko zaidi ndo tatizo hilo.