J Joline JF-Expert Member Joined Sep 24, 2020 Posts 4,541 Reaction score 7,378 Jun 3, 2024 #401 Siwezi kumwambia hata iweje, asiponitongoza yeye basi. Chalii Wa Kipare said: Hata kama unamuota daily? Yani chupi inaloa daily kwaajili yake humuambii kabisa?πππ Click to expand...
Siwezi kumwambia hata iweje, asiponitongoza yeye basi. Chalii Wa Kipare said: Hata kama unamuota daily? Yani chupi inaloa daily kwaajili yake humuambii kabisa?πππ Click to expand...
Natafuta Ajira JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 9,016 Reaction score 24,650 Jun 4, 2024 #402 Joline said: Siwezi kumwambia hata iweje, asiponitongoza yeye basi. Click to expand... Sio unaogopa ukianza kumtongoza wewe utashindwa kuomba hela?
Joline said: Siwezi kumwambia hata iweje, asiponitongoza yeye basi. Click to expand... Sio unaogopa ukianza kumtongoza wewe utashindwa kuomba hela?
J Joline JF-Expert Member Joined Sep 24, 2020 Posts 4,541 Reaction score 7,378 Jun 4, 2024 #403 Natafuta Ajira said: Sio unaogopa ukianza kumtongoza wewe utashindwa Click to expand... Natafuta Ajira said: Sio unaogopa ukianza kumtongoza wewe utashindwa kuomba hela? Click to expand... Hapana hela hata haihusiki hapo, n vile tu kutongoza sio kazi yangu.
Natafuta Ajira said: Sio unaogopa ukianza kumtongoza wewe utashindwa Click to expand... Natafuta Ajira said: Sio unaogopa ukianza kumtongoza wewe utashindwa kuomba hela? Click to expand... Hapana hela hata haihusiki hapo, n vile tu kutongoza sio kazi yangu.
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,057 Reaction score 41,992 Jun 4, 2024 #404 Ni rahisi zaidi kwa mwanaume kuangukia kwenye penzi akitongozwa na mwanamke kuliko mwanamke akitongozwa na mwanaume.
Ni rahisi zaidi kwa mwanaume kuangukia kwenye penzi akitongozwa na mwanamke kuliko mwanamke akitongozwa na mwanaume.