Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Hapo mumtafute rafiki wa kiume alafu aende kwa jamaa ajifanye anaomba kusaidiwa ampate rafiki yako 🤣, jamaa kwa kuhofia kuzidiwa kete ataanzisha mashambulizi 😂
 
Hello hello..

I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)

Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe😀") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana.

Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.

Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche
Amnunulie Boxa tuu kwisha habari.
 
Hapo mumtafute rafiki wa kiume alafu aende kwa jamaa ajifanye anaomba kusaidiwa ampate rafiki yako 🤣, jamaa kwa kuhofia kuzidiwa kete ataanzisha mashambulizi 😂
Technique nzuri ingawa kwa case yao sidhani kama inafanya kazi
 
Hii ya kumtaka mtu halafu unafanya ionekane kama yeye ndo anakutaka sio mchongo.

Mkuu funguka tu usiogope kumtongoza, hakuna kitu rahisi kupata kama mwanaume.
 
Hello hello..

I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)

Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe😀") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana.

Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.

Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
Haya simple mathematics mwambie rafiki (ambae ni wewe) .... asema kwa huyu jamaa anataka kwenda kupaona kwake..... hapo utaliwa tu kama jamaa ni fundi

Au jifanye mtoke out kisha sema twende nikapaone kwako so jamaa kama muelewa atajua unataka nini sema mtumie condom ukimwi upo

Sema kama wewe ni mbaya hajakuelewa atakataa usiende kama ni mzuri ni jambo la kugusa tu
 
Hello hello..

I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)

Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe😀") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana.

Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.

Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
Huyo bwege tu.. Kwani akiamua kumtongoza huyo mwanaume kuna shida? Tatizo lenu nyie wanawake mna illusion kuwa kutongoza ni kazi ya mwanaume tu, nyie hamuwezi kutongoza.
 
Kiufupi we achana na mawazo hayo, jamaa ana mtu wake , labda kama unataka kuwa mchepuko.
 
Hello hello..

I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)

Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe😀") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana.

Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.

Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
Mpaka hapa huyu ni kicheche.
Unahangaika vipi kumtaka mwanaume ili mkilane TU?
Hii ndo sifa ya kicheche.
 
Kwanini anataka ku force mambo? Haoni kwamba anataka kujikaanga na mafuta yake mwenyewe? Kama huyu mwanaume amempenda, basi kuna siku atamwelezea kila kitu. Pengine bado anampima ili aone kama ametulia, ana ma-boy friend wengine nk. Au pengine hampendi kabisa ila anamwona kama rafiki wa kawaida tu. Au pengine huyo mwanaume hajamkubali kwa asilimia zote hivyo anakosa motisha wa kusema chochote. Kulazimisha chochote kwenye hali kama hii matokeo yake yatakuwa siyo mazuri.
Well said mkuu.
Na wanaume wengine sio ' eat and run.'
Yawezekana pia anamwangalia na kumtathmini Kwa lengo la kumfanya awe mwenza wa maisha. Kama ni hivyo basi, mbinu yoyote ya mdada kutaka kuliwa kimasihara haitafanikiwa na endapo itafanikiwa basi huenda ikawa ndo mwisho wa mahusiano yao, maana wanakuwa wametoka nje ya mission ya kijana.
Upande wa pili , iwapo mdada anamwitaji kijana Kwa malengo ya muda mrefu, ana chance kubwa kuwin sababu pia Kwa namna Moja kijana amemwelewa.
Hapa yapasa Binti aendelee ubora wake kama mke mtarajiwa Kwa kificha makucha yake(mfano huu ukicheche uliopelekea kuanzishwa izi huu),
Kuzungumza nae Kwa busara sana, kuonesha utii na heshima, kuonesha upendo lakini pia kujenga interest na kupenda interest za kijana.
Hapa kijana atasema wow!!!
Huyu ni nyama katika nyama zangu, na mfupa katika mifupa yangu.
Nikumbishe TU kwamba , wanawake wengi walioolewa , ilianza hivo.
Kwa hiyo upon kwenye mtihani Binti, japo umeanza kuonesha dalili za kufeli mapema, ila kama uko interested una nafasi ya kuwa mke au nyumba ndogo ya kijana.
 
Back
Top Bottom