Hello hello..
I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)
Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe😀") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana.
Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.
Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
Iliwahi kunitokea hii 2019,kuna dada tulikuwa tukiwasilina naye mambo mengine kabisa, kumbe yeye alisha legea nyang'anyang'a na kuoza ju yangu .
Kwahivo alikuwa anatafuta njia ya kunipata ,lakini mimi sikumpa nafasi hiyo kwani alikuwa ni demu wa rafiki yangu na niliheshimu sana mahusiano yao.
Siku moja kanipigia simu majira ya saa kuminambili jioni akiwa ana toka kazini na kwamba tukutane maeneo fulani hapa Dar ,nikamuuliza kuna jambo gani?, akasema wewe njoo nitakwambia ukifika.
Nikaona isiwe tabu ngoja nikamsikiluze shemeji yangu huenda anachangamoto nimsaidie .
Nikawasha chombo huyo nusu saa nyingi nishafika eneo husika .
Nikapiga simu "Hey uko wapi?" ,Kaniambia utaona loge upande wa kulia ,ingia getini kisha uliza counter akuelekeze chumba no (....)
Ooo! Hisia zika anza kuja !!!! , ile namkuta loo!! Kitanda kimetandikwa vema ,sikuuliza tena kuna issue gani mwili ukaanza kujitayarisha na kazi inayo weza kufanyika mda wowote ,Jogoo akawa anawika kwa sauti kuu .
Nikamsalimia kwa salama ya mahaba mazito ,kisha tukavua nguo nzito tukabaki na nyepesi ,tukaanza kupiga stories za hapa napale huku akiniambia namna alivyo umizwa na jamaa yake kwahivo akaona mimi naweza kupunguzia stress zake .Sikuwa na kipingamizi kulingana na mazingira.
Japo kawoga flani kalikuwepo.
Nikamuuliza kama loge inadaiwa ,akaniambia amesha lipa amemalizana nao.
Looo!! Basi tukaoga pamoja na kurudi kitandani halaka sana , fujo zisizo umiza zikaanza ,hatimae mechi !!!!.....
Kwakweli ilikuwa ni siku tamu sana kwangu!! na siwezi isahau!
Namshauri atumie njia hiyo kama njia zingine zimeshindikana.