Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
Daah! Dunia Simama nishuke! Mwanamke anatamani atafunwe tu, wala siyo kuolewa. Kama ndiyo hivi, natangaza rasmi kuanzia leo kuwa najiunga na chama cha KATAA NDOA.
 
Aangalie katika haya mambo

Expensive man
Value man

If ni expensive man - hapa ni lile kundi la wanaume amabao huwa hawachagui MTU wa kufanya naye ngono ni sex driven

Na akiwa value man hawa ni decent man ,they all know what they want you can't trap them .

So apime faida na hasara akiwa expensive man atampta in a zero second but when is value man atajishushia heshima na kupata aibu.

The Chance are , ni kutumia Hi yo vigezo.
 
Wanaishi Dar?
Manake kama ni hapa mjini kwa hali hii ya hewa lazima dada wa watu ahemkwe na hisia. Hali inaruhusu kabisa.
 
Ukitaka mwanaume akupende/avutiwe na wewe, mpotezee (ignore him)..
Utammaliza halafu utakuja niita mi kungwi[emoji38]
Shauri yako,sisi mtu akitupotezea tunahamia next,hatunaga muda wa kuganda kwa demu mmoja.
 
Shauri yako,sisi mtu akitupotezea tunahamia next,hatunaga muda wa kuganda kwa demu mmoja.
Badala ya sisi hapo ungeweka mimi,
Ulishawahi ku experience hiyo ya kupotezewa, na ilikua katika stage gani
Laiti kama ingekuwa sio mbinu ya kivita ningekufafanulia zaidi, nisingeminya
 
Ukitaka mwanaume akupende/avutiwe na wewe, mpotezee (ignore him)..
Utammaliza halafu utakuja niita mi kungwi😆
HIi mbona naona kama ipo kinyume chake. Mwanamke usipompa attention ndio anachanganyika inaweza kupelekea kulika kirahisi kabisa.
 
Thing is hawakutani. Walikutana kwenye tukio la kazi kama a year ago, exchanged contacts na tangu hapo walionana tena mara moja kwenye event nyingine ya kazi ila almost daily anamsalimia tu. Au anamuuliza issue za kazi via email baasi. One day aliweka status picha yuko beach alimuuliza “uko wapi?” Akamwambia alipo eti akamjibu “umependeza, enjoy”. Ndo nini sasa. Wanaume sometimes mnazingua.
Hahahahahahah ni wewee bhn,,,mbona kama ume cache feelings??
 
Hello hello..

I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)

Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe😀") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana.

Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.

Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
Acha umalaya
 
🤣🤣🤣 eti akatae hawa wanaolamba mpk mikei michafu ya kununua…!!
Yy km haamini amwambie nna ugwadu na mpz wangu yuko mbali, aone km hajamfata hata kwa miguu akajifanye anampa pole 😜
Mimi nilipitisha ulimi kwenye tigo ya mdada mmoja anaejiuza pale sinza 😋 Lamomy
 
Hello hello..

I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)

Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe😀") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana.

Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.

Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
Aende tu geto wanyanduane then wafanye flashback kutongozana baada ya kutiana
 
Back
Top Bottom