Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Usiseme rafki yako, huyo ni wewe bhana
 
Am sure Uyo kaka ana muenjoy tu hayuko serious
Unaweza ukawa uko sahihi kabisa. Mimi ni mwanaume hivyo najua. Kama unampenda msichana ki-haswa na huyo msichana mnakuwa wote mara kwa mara, na anakuonyesha positive response kwa namna yoyote basi ni lazima utataka kuwahi kumtaka urafiki kabla hajawahiwa na wengine. Mwanzisha thread mwambie huyo rafiki yako afanyie mtihani mdogo sana huyo mwanaume. Wanapokuwa wapokutana huyo dada amwambie nina haraka nakwenda kumuwahi boyfriend wangu ananisubiri, halafu aone ata-respond namna gani.
 
Eeh tena ukute katoka kumwagwa kaishi miezi miwili bila kuchujwa nafaka upwiru umekaba koo wanakuwaga kama nyumbuπŸ˜‚
 
Atakuwa kajimaliza πŸ˜‚
 
kwahiyo rafiki yako anaomba mbinu za kuuficha ukicheche wake huku ana hamu ya kunyanduliwa tu na huyo jamaa πŸ’ πŸ’

mweleze tu bayana,
Tamaa sio kitu kizuri na mapenzi kazini ni kitovu cha uzembe.
Daima asipange kuharibu time za watu, abaki njia kuu πŸ’
 
Hakuna anayependa kuwa king'ang'anizi yani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…