Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

kweli tumshukuru mamah sasa!
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
, Wine haidanganyi aiombe msaada
😂😂😂😂Tookaa kwa hiyo itampa maconfidence
 
Hapo no way aanze tu yeye, vinginevyo awe mvumilivu mpaka kijana atakapo funguka.

Kuanza yeye kutasaidia kuokoa muda kwa sababu huenda pia kijana ameonyesha hivyo ila asije kuwai kumfungukia kwa sababu sometime wanaume kuna sehemu tunatokeaga kuzielewa ila tunajikuta hatuzifungukii kwa kujiona hatuko tayari kila siku.

Kwaio hapo mdada aangalie tu njia smart ya kumfungukia kijana ambayo kijana hatomuona mdada ni kicheche maana kiukweli mi kama mwanaume mdada akikujia direct unaweza ukamuhisi vibaya.

Mdada ajaribu kutengeneza mazingira ya kukutana na kijana then ajaribu kuweka mazingira ya kujiregeza huenda kijana akamalizia
Sio kujiona hatupo tayari, unakuta mtu anajiweka expensive sana unaona kabisa gharama zitakuwa nyingi bila sababu 😅 maana pisi kali ukiianza kama vile umenenunua madeni ya Songesha.
 
Hapo no way aanze tu yeye, vinginevyo awe mvumilivu mpaka kijana atakapo funguka.

Kuanza yeye kutasaidia kuokoa muda kwa sababu huenda pia kijana ameonyesha hivyo ila asije kuwai kumfungukia kwa sababu sometime wanaume kuna sehemu tunatokeaga kuzielewa ila tunajikuta hatuzifungukii kwa kujiona hatuko tayari kila siku.

Kwaio hapo mdada aangalie tu njia smart ya kumfungukia kijana ambayo kijana hatomuona mdada ni kicheche maana kiukweli mi kama mwanaume mdada akikujia direct unaweza ukamuhisi vibaya.

Mdada ajaribu kutengeneza mazingira ya kukutana na kijana then ajaribu kuweka mazingira ya kujiregeza huenda kijana akamalizia
Sio kujiona hatupo tayari, unakuta mtu anajiweka expensive sana unaona kabisa gharama zitakuwa nyingi bila sababu 😅 maana pisi kali ukiianza kama umenenunua madeni ya Songesha.
 
Hello hello..

I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)

Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe😀") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana.

Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.

Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
Huto rafiki yako mtumie ule uzi kichwa chake cha habari kinasema UMEWAHI KULA TUNDA KIMASIHARA ?!
Aone mbinu zilizo tumiwa na Wanawake wenzake kwenye kuwala WANAUME kimasihara alafu mwisho wa siku hao WANAUME wakaja hapa forum kusema eti wao ndiyo wamekula tunda KIMASIHARA kumbe ni wao ndiyo wameliwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Tafuta huo uzi haraka sana mpe huyo rafiki yako.
 
Huto rafiki yako mtumie ule uzi kichwa chake cha habari kinasema UMEWAHI KULA TUNDA KIMASIHARA ?!
Aone mbinu zilizo tumiwa na Wanawake wenzake kwenye kuwala WANAUME kimasihara alafu mwisho wa siku hao WANAUME wakaja hapa forum kusema eti wao ndiyo wamekula tunda KIMASIHARA kumbe ni wao ndiyo wameliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tafuta huo uzi haraka sana mpe huyo rafiki yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3516]
 
Back
Top Bottom