Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Mawasiliano
Awasliane nae mara nyingi zaidi huku akimuulizia vitu sensitive
Mawasiliano yao yawe ya usiku mara nyingi
(Mm nikiona mdada anawasiliana na mm mara nyingi zaidi, it means she has no one...na hyo inanipa chance ya kumtongoza. It happened to me twice, na hata haikuwa ngumu)
Zawadi + outing
Ampatie zawadi sensitive kama boksa, mkanda, vest...huku akichombeza Kwan maneno, I wish to see ilivyokutoa [emoji23][emoji23]
Hapo hata DeepPond atafikiria kuongeza mchepuko mwingine tofauti na mama J [emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana
 
Hapo akisifiwa, ye akireply aanze kutupia na tu kopa mixer tu emoj mbali mbali tunako hamasisha. Easy tu, uwaga hawakatai hao watu.

Kuna huyo niliyejifunzia enzi hizo za miaka ya TANU😂
Nilimchanaga Akajibu …. Depal, I’m married.
Nikamuuliza.. kwani ukija unakuja na mke wako?
Akaniuliza unatumia bangi ya wapi nikuletee? 🤣🤣
Nikamwambia cha hapo tu jirani mjini Nairobi 😛😛…
Basi ngoma ya Shenseea ikawa completed.
“You think you coulda get inna my feelings? (Nah)
You couldn't get me fi sekkle down?
Me give you a hit and run..
Depal unatumia bangi ya wapi nikuletee?
 
Hello hello..

I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)

Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe😀") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana.

Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.

Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
Anataka aliwe tu alafu anaogopa kuonekana kicheche jmn
 
Mwambie Apache umalaya
 
Amwambie tu ukweli.
Akikubaliwa haya, akikataliwa haya.
 
Tutatoa ushauri kulingana na sura yako.
Tuma picha yako kwanza tuone
 
Hope urassa afanye harakati zote ila asije akajichoresha live, atateseka, shit zikianza, kama ametoa signal zote jamaa amekaza head
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
, inatosha aendelee kukisugua tu, vinginevyo atakuja kulia kama mbwa mdomo juu
 
Kwanini anataka ku force mambo? Haoni kwamba anataka kujikaanga na mafuta yake mwenyewe? Kama huyu mwanaume amempenda, basi kuna siku atamwelezea kila kitu. Pengine bado anampima ili aone kama ametulia, ana ma-boy friend wengine nk. Au pengine hampendi kabisa ila anamwona kama rafiki wa kawaida tu. Au pengine huyo mwanaume hajamkubali kwa asilimia zote hivyo anakosa motisha wa kusema chochote. Kulazimisha chochote kwenye hali kama hii matokeo yake yatakuwa siyo mazuri.
Au anamchota akili ana muenjoy tu
 
Back
Top Bottom