Saidama
JF-Expert Member
- Jun 10, 2022
- 598
- 1,151
Hapo no way aanze tu yeye, vinginevyo awe mvumilivu mpaka kijana atakapo funguka.
Kuanza yeye kutasaidia kuokoa muda kwa sababu huenda pia kijana ameonyesha hivyo ila asije kuwai kumfungukia kwa sababu sometime wanaume kuna sehemu tunatokeaga kuzielewa ila tunajikuta hatuzifungukii kwa kujiona hatuko tayari kila siku.
Kwaio hapo mdada aangalie tu njia smart ya kumfungukia kijana ambayo kijana hatomuona mdada ni kicheche maana kiukweli mi kama mwanaume mdada akikujia direct unaweza ukamuhisi vibaya.
Mdada ajaribu kutengeneza mazingira ya kukutana na kijana then ajaribu kuweka mazingira ya kujiregeza huenda kijana akamalizia