Kabisaa πAnafanania π π π
SawaJamani msaidieni basi.
Ukute mtu ana mihela kaka nayo tu.
Mgawieni mwenzenuπ
Nasubiri namba yake PMwe mpe kama uko poa
Kwa 20k mali isiyo hamishikaπBond unaweka nini yaani Mali isiyo hamishika
Nimeweka mkeka kwenye beti , asubiri nimchape mhindiMpe basi hata ten
Heh tenaNasubiri namba yake PM
Naona kaja PM na ngonjera badala ya kutuma nilichomuomba
my dear nilisikia unahudumiwa na jibaba la kweli kwani hukati ganji mpe basi upate barakaππ jokeeeJamani msaidieni basi.
Ukute mtu ana mihela kakaa nayo tu.
Mgawieni mwenzenuπ
Heh tena
Nimeweka mkeka kwenye beti , asubiri nimchape mhindi
Siyo yeye huyu anamanisha kama vipi aweke LIPA namba tumchangie hata 1000 kwa kila memberΓ500000 anapata milioni 50Huyu sio Elevenn kweli?
sio hatuna sema hauna ila mi nampa 10 k anifate dmππHatuna cha kutoa kama unacho wewe toa shida iko wapi aga boy?
Kumbe umetumiwa 20k nyingiiAlhamdulillah! Asante sana kwa wote walionisaidia, walionitia moyo na kuniombea. Nimefanikiwa kupata nilichokuwa nahitaji. Mungu awabariki kwa wema wenu na awazidishie pale mlipopunguza. Shukrani zangu za dhati.
Wow umefanya vizuri sanaKashatuma namba ametumiwa 20K yake
Hope itamsaidia kama alivyosema
pamojaAlhamdulillah! Asante sana kwa wote walionisaidia, walionitia moyo na kuniombea. Nimefanikiwa kupata nilichokuwa nahitaji. Mungu awabariki kwa wema wenu na awazidishie pale mlipopunguza. Shukrani zangu za dhati.
Dah Ephen π wewe hapanaKumbe umetumiwa 20k nyingii
Id mpya zinasaidia