min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Wale wa porini? Unauza sh ngap?Wa kienyeji.
Wale wa porini? Unauza sh ngap?Wa kienyeji.
Usifute aombaye hupewa halafu pia mi baadaye utasoma mwamalaNAFUTA UZI NIMEPATA JAMANI ASANTENI SANA TENA SANA
Nimelia😥Sana 😢 dah
Mmoja 15,000.Wale wa porini? Unauza sh ngap?
Nakuona mpka kwikwiNimelia😥
Nicheke😁😁Nakuona mpka kwikwi
Mhmm wanadai ni ghali sana mbonaMmoja 15,000.
Una moyo soft bebe 😊Nicheke😁😁
Viduchu,tunavipunguza.Mhmm wanadai ni ghali sana mbona
Ila hilo jina lako la mawazo limekaa kimateso mateso sana ,liangalie mara mbili mbili , nimwonyeshwa na yesu😊NIMESHAPATA KAKA ANGU
Mawazo kashapata pesa,tuachie masikitiko😁Una moyo soft bebe 😊
Ningekua karibu ningevipunguzia tumboni na na konyagi zangu mpaka viishe🤔Viduchu,tunavipunguza.
Poa poaNIMESHAPATA KAKA ANGU
Sehemu nyingi kuna camera siku hizisi unaenda kwa wakala mtaa D unaacha pesa na number wakala asiekujua
Toka zako,labda bata hao wadudu sili🙌Ningekua karibu ningevipunguzia tumboni na na konyagi zangu mpaka viishe🤔
ndio nasikia leo ngoja niende na mimi sina hela ya biaMkuu Mawazo255 pole kwa unayoyapitia siko sehemu nzuri kuweza kutuma hiko kiasi cha hela ila ikiwa hautajali tafuta kituo chochote cha polisi ,omba kuonana na askari anayehusika na mahusiano ya jamii ,ukionana naye nakutumia namba PM ,unipigie nizungumze naye nimuombe akupe elfu thelathini kutoka kwenye mfuko wa jeshi la polisi upande wa mahusiano mema na jamii .
Ni haki yako mkuu wangu kusaidiwa nao na pia na mimi ni haki yangu kukuombea wakupe hela .
Ikiwa uko tayari tafadhali nijibu natuma nikupe namba yangu sasa .
Pole sana rafiki .
😄 Asante kwa kunijali. Mawazo255 halimaanishi mateso, bali linanikumbusha kwamba mawazo ndiyo chanzo cha maamuzi na mabadiliko. Hata Yesu alitufundisha kutafakari na kuwa na hekima. Jina lipo sawa kwangu. 😊Ila hilo jina lako la mawazo limekaa kimateso mateso sana ,liangalie mara mbili mbili , nimwonyeshwa na yesu😊
Anakula wadudu na bia za motoToka zako,labda bata hao wadudu sili🙌