ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
ShikamooAisee mbona wabongo mnapenda kujiamulia mambo hivi?!
ShikamooAisee mbona wabongo mnapenda kujiamulia mambo hivi?!
Najua kujuana na wewe!😂😂
Ni wale wale kina 11
Hadi wewe kabisa,? 😂Anafanania 😅😅😅
Et una utajiri wa Aidiiiii 😅😅Marhaba..
Unaona Joanah anachofanya?
Wananitafuta sana hawa,Et una utajiri wa Aidiiiii 😅😅
Sawa hakuna tabuWananitafuta sana hawa,
Sina ID zaidi ya hizi zilizo ungwa na ilitokea kwa sababu kuwa na ID zaidi ya moja siwezi
Kumbe ni wewe 🙆🙌😅😅😅Hadi wewe kabisa,? 😂
Aisee basi bwana nilijua utakuwa upande wangu kumbe huwa napata sifa za kisogo tuuKumbe ni wewe 🙆🙌😅😅😅
Nisamehe
Wakati wewe ni chief Godlove 😬Joanah umenikosea heshima kabisa mdogo wangu mimi wa kuomba pesa humu kweli?
real ?Nauza sungura😎
HahahaWakati wewe ni chief Godlove 😬
Wewe utajuta mimi kukufahamu 😂Hahaha
Dawa yako iko jikoni cha mtema kuni utakiona
Na kulia timing tuu, I know exactly the right moment to strikeWewe utajuta mimi kukufahamu 😂
Na kulia timing tuu, I know exactly the right moment to strike
Wameishareal ?
kopa kwenye mtandao wa line yako ya simu!Naomba Mkopo wa TSh 20,000 – Nimekwama kwa Sasa
Habari wakuu wa JamiiForums.
Naomba kwa heshima kama kuna mdau mwenye uwezo wa kunikopesha TSh 20,000. Kwa sasa nimejikuta kwenye kipindi kigumu kifedha, na kiasi hicho kitanisaidia kuvuka changamoto ya dharura niliyonayo.
Ninaelewa si rahisi kumwamini mtu usiyemfahamu, ndiyo maana siombi kwa kulazimisha wala kwa kutunga hadithi za kuonea huruma. Naomba kwa uaminifu. Nikipata msaada, nitawasiliana vizuri na tutakubaliana namna na muda wa kurejesha fedha hizo.
Kama hutaweza kunikopesha, hakuna shida. Ushauri, kazi ya kufanya, au fursa yoyote ya kunisaidia kujikwamua pia nitapokea kwa shukrani.
Asanteni kwa kunisoma. Mungu awabariki na awazidishie pale mnapotoa kwa ajili ya wengine.
Hiyo pesa utafanyia nini? Au umekosea kuongeza sifuri moja?Naomba Mkopo wa TSh 20,000 – Nimekwama kwa Sasa