Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Picha muhimuNauza sungura😎
Picha muhimuNauza sungura😎
Upo meku?Picha muhimu
Salamaleko salamaleko 😁 kakaUpo meku?
Hatari sanaUtasikia Doctor mtu wa watu haaahaa 😊 ☺️
Nimewekwa kikao nipunguze wema kusaidia saidia watu ovyo ovyoo eti nawanunulia pombe daily mwishoo wa siku walimwengu wanatusema kwa ubaya
haaaahaa 😁
Mambo yanaendaje broHatari sana
Kwa uzoefu wangu watu wanaokopa elfu 10, 20,30,40 hadi 50 wengi wao huwa ni watata sana kwenye kuleta rejesho.Naomba Mkopo wa TSh 20,000 – Nimekwama kwa Sasa
Habari wakuu wa JamiiForums.
Naomba kwa heshima kama kuna mdau mwenye uwezo wa kunikopesha TSh 20,000. Kwa sasa nimejikuta kwenye kipindi kigumu kifedha, na kiasi hicho kitanisaidia kuvuka changamoto ya dharura niliyonayo.
Ninaelewa si rahisi kumwamini mtu usiyemfahamu, ndiyo maana siombi kwa kulazimisha wala kwa kutunga hadithi za kuonea huruma. Naomba kwa uaminifu. Nikipata msaada, nitawasiliana vizuri na tutakubaliana namna na muda wa kurejesha fedha hizo.
Kama hutaweza kunikopesha, hakuna shida. Ushauri, kazi ya kufanya, au fursa yoyote ya kunisaidia kujikwamua pia nitapokea kwa shukrani.
Asanteni kwa kunisoma. Mungu awabariki na awazidishie pale mnapotoa kwa ajili ya wengine.
Nawaza nitoe loku au niache bwashee, hizi pombe walipika wakiwa uchi sio kwa kiu hii meku😅Salamaleko salamaleko 😁 kaka
Leo nimeamka na konyagi na Serengeti lemon kama chai ya asubuh
Haaaahaa ☺️ 😁
Alhamdulilah napambana kaka ,yako njema sanaMambo yanaendaje bro
Mimi piaaAlhamdulilah napambana kaka ,yako njema sana
Tuendelee kunywa kakaNawaza nitoe loku au niache bwashee, hizi pombe walipika wakiwa uchi sio kwa kiu hii meku😅
MnoMTuendelee kunywa kaka
Naambiwa ni watamu,lkn nikimtizama tu🙌Haujui vitu vitamu wewe
Vilaini kama kikuku kichanga , nikitamu ukikaanga havifai kuchemsha vinateleza kama konokono😅Naambiwa ni watamu,lkn nikimtizama tu🙌
Naelewa utakuwa unapitia hali ngumu kwa sasa. Natamani ujue kipindi cha hali ngumu sio kipindi cha kujiona mnyonge na kufanya/kutamka vitu vitakavyokupa majibu ya kukuumiza. Pamoja na hali ngumu yako angalia ni wapi unatafuta msaada sio popote tu hata kwa sehemu unayojua itakuumiza. any way nisiseme mengi ila nakuombea ujasiri wa kusimama na kujua jinsi ya kupambana bila kutengeneza maumivu. Wewe sio wa kwanza kupata mapito... na Mungu akutangulie.Asante kwa ushauri mkuu. Naelewa unachomaanisha. Kuomba si jambo la kujivunia, lakini wakati mwingine hali humfanya mtu ajaribu kila njia iliyo ndani ya mipaka ya heshima. Nikipata nitashukuru, nisipopata nitaendelea kutafuta njia nyingine. Asante kwa kunitakia mema.
Sawa MkuuBond ni muhimu Bora aseme msaada sio mkopo.
Bond ni muhimu sana mkopaji akishindwa kurejesha