Naomba Mkopo wa TSh 20,000 – Nimekwama kwa Sasa

Naomba Mkopo wa TSh 20,000 – Nimekwama kwa Sasa

Status
Not open for further replies.
Asante kwa kuuliza. Kwa sasa sina bond wala mali isiyohamishika ya kuweka kama dhamana. Ndio maana nimeomba kwa uaminifu nikitumaini kama kuna atakayekuwa tayari kunikopesha kwa makubaliano. Nikielewa masharti yako na kama haitawezekana, nitayaheshimu. Asante.
Utarejesha lini yaani siku ngapi utanirejeshea? Nikikuazima
 
Kaka huku uwa tunakabidhi white coat ikiwa hata hela ya kasichana imepelea alafu tukipata tunalipa wanatupa koti letu 🤣
Utasikia Doctor mtu wa watu haaahaa 😊 ☺️

Nimewekwa kikao nipunguze wema kusaidia saidia watu ovyo ovyoo eti nawanunulia pombe daily mwishoo wa siku walimwengu wanatusema kwa ubaya

haaaahaa 😁
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom