Habari gani wana JF.
Wakuu nawakaribisha wale wote wanaojua kiswahili cha Kenya hasa misamiati wanayotumia wanapoongea, misemo yao pamoja na ule mchanganyiko wao wa maneno ya kiingereza na kiswahili (code switching &code mixing).
Nasema hivi kwa sababu sasa hivi nikitongoza wanawake wa Kenya wananikataa wakigundua kuwa nina lafudhi /kiswahili cha tanzania. Hii haijawahi kuwa kawaida yangu maana sijazoea kukataliwa pindi ninapotongoza lakini sasa hivi nashangaa mambo yameniendea kombo.
Demu moja nilijaribu kumtongoza na alipogundua kuwa mimi ni mtanzania akaanza kuniita
undemocratic, mwingine akaniita
mtu asiyejulikana. Sijui walikuwa wanamaanisha nini.
Jana nilijifanya mkenya nikamtongoza demu kwa lafudhi yao niliyokuwa nikiisikiliza kupitia redio KBC, yaani nilimtongoza kwa maneno machache tu na alikubali hadi nikishangaa aise 😅.
Eti nilimwambie "hivi unajuanga Mimi napendanga demu ako na big nyansh kama wewe due Niko nawaona wakitumiwanga katika videos na music artists". Yeye akasema... "hembu achanga kunichocha
secretarybird, you're making na feel shame" nikamwambia "yaani I saw you several times hadi usiku nikilala nakuwazanga hadi nakumbatia mto na saa hii Niko na hamu na wewe...".
Basi baada ya kujitutumua kumtongoza yule binti kikenya Kenya basi nilimkula bila matatizo. Lakini najiuliza kwa nini tangu ile siku ya kesi ya TUNDU LISU ya mwisho wanawake wa kenya wanakataa kunipa mbususu 🤔.
Naomba mnifundishe Kiswahili cha Kenya ili nifaidi tunda la katikati wakuu.
Cc
Monetary doctor Dr am 4 real PhD .