Naomba mnifundishe kiswahili cha Kenya maana nateseka sana huku, natongoza nakataliwa

"Njua vile umeninoki manzi, hio kichwa yako ni safi.

Kam nikushow vile naweza shika hizo mahagaz. Kam nikupee ile kitu itakuroga ma feelings ujikute uko high ka farasi.

Si unajuaga venye ma boys from Tizii tukogo hot. I swear you don't wanna miss my taste."

Hapo akikataa rudi kwa msisi kwa maelekezo zaidi.
 
Ngoja nitafute dictionary 😁
 
Mkuu bila shaka wewe ni mkenya au umekaa Kenya maana umenyoosha vizuri sana.
 
Back
Top Bottom