Naomba mnifundishe kiswahili cha Kenya maana nateseka sana huku, natongoza nakataliwa

Naomba mnifundishe kiswahili cha Kenya maana nateseka sana huku, natongoza nakataliwa

Sema
Habari gani wana JF.

Wakuu nawakaribisha wale wote wanaojua kiswahili cha Kenya hasa misamiati wanayotumia wanapoongea, misemo yao pamoja na ule mchanganyiko wao wa maneno ya kiingereza na kiswahili (code switching &code mixing).

Nasema hivi kwa sababu sasa hivi nikitongoza wanawake wa Kenya wananikataa wakigundua kuwa nina lafudhi /kiswahili cha tanzania. Hii haijawahi kuwa kawaida yangu maana sijazoea kukataliwa pindi ninapotongoza lakini sasa hivi nashangaa mambo yameniendea kombo.

Demu moja nilijaribu kumtongoza na alipogundua kuwa mimi ni mtanzania akaanza kuniita undemocratic,  mwingine akaniita mtu asiyejulikana. Sijui walikuwa wanamaanisha nini.

Jana nilijifanya mkenya nikamtongoza demu kwa lafudhi yao niliyokuwa nikiisikiliza kupitia redio KBC, yaani nilimtongoza kwa maneno machache tu na alikubali hadi nikishangaa aise 😅.

Eti nilimwambie "hivi unajuanga Mimi napendanga demu ako na big nyansh kama wewe due Niko nawaona wakitumiwanga katika videos na music artists". Yeye akasema... "hembu achanga kunichocha secretarybird, you're making na feel shame" nikamwambia "yaani I saw you several times hadi usiku nikilala nakuwazanga hadi nakumbatia mto na saa hii Niko na hamu na wewe...".

Basi baada ya kujitutumua kumtongoza yule binti kikenya Kenya basi nilimkula bila matatizo. Lakini najiuliza kwa nini tangu ile siku ya kesi ya TUNDU LISU ya mwisho wanawake wa kenya wanakataa kunipa mbususu 🤔.

Naomba mnifundishe Kiswahili cha Kenya ili nifaidi tunda la katikati wakuu.

Cc Monetary doctor Dr am 4 real PhD .
Sema sipendi CCm na penda wewe unajuwa follow like bunge la tanzania
 
Hapo ndo wataniua kabisa.
Watakukubari na ukisema s100 ni mtu kaunti ya mombasa wala kungu wata kukubari kabisa
IMG_1469.jpeg
 
Wakurya wa kike ni wababe wababe. Niliwai kua nae mmoja ananichokoza Mara anani block kila sehemu Ila yana upendo wa dhati.

Huyu mkurya sura ya baba kafungasha ana hips na big booty alikua anasema ANAPENDA sura yangu, machoyangu, na lips zangu na Ile kazi kazi tukiwa WOTE. Ila niwakorofi Sana yaani wanawivu sana na huanzisha ugomvi ni jadi yao yaani wakurya wakike 🙌
Nq bado ukapita hivi mkuu ukaona hii future haiko bright kwenye utulivu wa akili ila kuna wakati sisi wanaume tunamiss fujo 😂🤣
 
Back
Top Bottom