secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #121
Kabla hatujaanza akaniambia "nikikupea utaweza?"Basi vile amekupea utakuwa umemfurahia sana huyo manzi wa Kibera.
Kabla hatujaanza akaniambia "nikikupea utaweza?"Basi vile amekupea utakuwa umemfurahia sana huyo manzi wa Kibera.
We ni mutu wa Kenya au mtizii.Nairobi ninamda kidogo hata mimi na bado nanunua
Mbona kimenyooka kama cha Tanzania.Hiki ndio kiswahili Cha kenya
Mimi mtizii kabisa yaan nipo kama miezi nne tu hukuWe ni mutu wa Kenya au mtizii.
Njo inaikalaga vile,petii!Mihela
Ankara
Hundi
Sarafu
Manemane
😀
Anha! Kutokana na mizozo ya kidoplamasia kati ya tizii ya Kenya basi nimeanza kunyimwa mbususu.Mimi mtizii kabisa yaan nipo kama miezi nne tu huku
Kenya hela mbele hawataki kiswMbona kimenyooka kama cha Tanzania.
Mkuu nimeimisi familia langu na watu wa tizi, ukiwanga away mambo siyo muzuri.Njo inaikalaga vile,petii!
Huku kinachonisaidia nimeskul huku na niko na bro in laws hukuAnha! Kutokana na mizozo ya kidoplamasia kati ya tizii ya Kenya basi nimeanza kunyimwa mbususu.
Wananinyima kwa sababu ya mgogoro kati yao na CCMKenya hela mbele hawataki kisw
Juzi nilimsikiliza Mr Nice anaongea kiswahili cha Kenya kwa ameshaathirika.Huku kinachonisaidia nimeskul huku na niko na bro in laws huku
Nakutumia hela za Somaliland urudi haraka.Mkuu nimeimisi familia langu na watu wa tizi, ukiwanga away mambo siyo muzuri.
Hajaathirika.Anafanya usanii awakombe mahela.Kwenye chongo,vunja lako muelewane.Juzi nilimsikiliza Mr Nice anaongea kiswahili cha Kenya kwa ameshaathirika.
Hahaha kidogo pameendelea sio kama tz lkn tunawazidi mambo mengi sio wasafi na wako nasura fln iv sema kama unakazi safi tuJuzi nilimsikiliza Mr Nice anaongea kiswahili cha Kenya kwa ameshaathirika.
Hapa hata kwa mguu narudi maana ni uamuzi tu na utafutaji wa life.Nakutumia hela za Somaliland urudi haraka.
Hahaha 😂, alikuwa naongea kama wakenya eti "saa hii Mimi ako naenda kupea wasanii wenzangu kolabo"😂😂Hajaathirika.Anafanya usanii awakombe mahela.Kwenye chongo,vunja lako muelewane.
Wewe rudi tu.Ukifika mpakani unageuka ghafla na kujidai unarudi Kenya ili wakuite walinzi wa mpakani urudi mahome.Hapa hata kwa mguu narudi maana ni uamuzi tu na utafutaji wa life.
Yes, ni ishu ya kazi.Hahaha kidogo pameendelea sio kama tz lkn tunawazidi mambo mengi sio wasafi na wako nasura fln iv sema kama unakazi safi tu
Jamaa anazeeka huku kuku amepanda basikweli na amevaa raizoni.Hahaha 😂, alikuwa naongea kama wakenya eti "saa hii Mimi ako naenda kupea wasanii wenzangu kolabo"😂😂