Likwanda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 3,922
- 1,149
Namba saba ni maxmam cold temperature, ukiweka namba hiyo vitu vitapata ubaridi kwa haraka au kuganda kwa haraka kama unataka kugandisha.asante san mkuu roho ilikua inanidunda sana je kile kiswtch cha kuzungusha ndani kuLe nikiweka namba saba ndo inawah kugandsha au nkiweka namba moja ..? maana sina uzoefu na haya mavitu mkuu
Shida ni kua ukiweka namba sama fridge haitakua ina fanya themostart hivyo itapelekea umeme mwingi kitumika kwa maana haitakuwa inajizima na kujiwasha outomatiki.
Namba 4 ni namba nzuri kwa maana itaruhusu ubaridi mzuri ambao pia utaruhusu themostart kufanyakazi.