Naomba mnipokee na mnifunze binti yenu wa usukumani

Mtunza siri zako

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2025
Posts
586
Reaction score
975
Habari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye.

Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula, kusafiri, siasa, kufahamu masuala ya kijamii, maisha, habari za mapenzi nakujifunza mambo mapya. Nimekua nikifuatilia jukwaa kwa muda mrefu kama guest ila sasa nimeamua kujiunga.

Je una lolote la kunifunza? njoo unikaribishe!
 
Sisi ni watu poa sana 😁

wasukuma hoyeee.jpg
 
Habari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye.

Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula, kusafiri, siasa, kufahamu masuala ya kijamii, maisha, mapenzi nakujifunza mambo mapya. Nimekua nikifuatilia jukwaa kwa muda mrefu kama guest ila sasa nimeamua kujiunga.

Je una lolote la kunifunza? njoo unikaribishe!
Karibu Dar nikufundishe jinsi ya kupita kwenye fly over
 
Habari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye.

Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula, kusafiri, siasa, kufahamu masuala ya kijamii, maisha, mapenzi nakujifunza mambo mapya. Nimekua nikifuatilia jukwaa kwa muda mrefu kama guest ila sasa nimeamua kujiunga.

Je una lolote la kunifunza? njoo unikaribishe!
Karibu sana.. kumbuka tu "The closer you look.. the less you see".
 
Habari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye.

Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula, kusafiri, siasa, kufahamu masuala ya kijamii, maisha, mapenzi nakujifunza mambo mapya. Nimekua nikifuatilia jukwaa kwa muda mrefu kama guest ila sasa nimeamua kujiunga.

Je una lolote la kunifunza? njoo unikaribishe!
Hujatoa wajihi wako, je ni mrefu wembamba, mfupi mnene, maji ya kunde au mweupe una tako au la. Kama vp weka picha tu judge wenyewe
 
Habari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye.

Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula, kusafiri, siasa, kufahamu masuala ya kijamii, maisha, mapenzi nakujifunza mambo mapya. Nimekua nikifuatilia jukwaa kwa muda mrefu kama guest ila sasa nimeamua kujiunga.

Je una lolote la kunifunza? njoo unikaribishe!
Sawa,nami nipo mwanza karibu
 
Mwenye Access ya kutongoza na kukubalia bila mashart yoyote yake ni Mimi pekee yangu. Nikiwa offline basi mikoba yangu hubebwa na Mzee wa kupambania Basi
 
Back
Top Bottom