Moyo unasita naona wewe ni mwenyeji wa kitambo humu... Nikikwambia fanya kama unaitapikia unaelewa nini?Bado, labda mamemba walikua wanakusubiria wewe uje unifunze.
Moyo unasita naona wewe ni mwenyeji wa kitambo humu... Nikikwambia fanya kama unaitapikia unaelewa nini?Bado, labda mamemba walikua wanakusubiria wewe uje unifunze.
Kumbe u got jokes....nasikia wasukuma nyie mnapenda vibamiaz
Uongooo uongooo huoooo, hizo ni uongooooKumbe u got jokes....nasikia wasukuma nyie mnapenda vibamiaz
Nao watakua wakarimu, watarithi kwa wazazi wao.Mkuu ondoa shaka aise, Mimi pia na mkarimu sana.
Sasa najiuliza kuwa hao watoto tunaoenda kuwazaa watakuja kuwa wakarimu kiasi gani?
Mola atusaidie tu.
🤭 Asante sana dada EveHuu mwandiko sio mpya hapa mjini 😁 ila karibu.
Hapana mimi ni mgeni, ila weekend huwa pia nafanya kazi za ukungwi sasa sijui kama unayosema unamaanisha huko nilikofikili.Moyo unasita naona wewe ni mwenyeji wa kitambo humu... Nikikwambia fanya kama unaitapikia unaelewa nini?
Siyo kweli sisi tunapenda yaliyojazia 😁Kumbe u got jokes....nasikia wasukuma nyie mnapenda vibamiaz
Hukohuko... Tuishie hapahapa sababu kuna watoto humu 😊Hapana mimi ni mgeni, ila weekend huwa pia nafanya kazi za ukungwi sasa sijui kama unayosema unamaanisha huko nilikofikili.
Mmmh ona mlivyojazana kwenye nyuzi ya dada wa watu, hajawajua tabia tu!Hutaki wifi eeh?
Ko hutaki wifi? Hutaki kuitwa shangazi eeh!Mmmh ona mlivyojazana kwenye nyuzi ya dada wa watu, hajawajua tabia tu!
Namwambia tena ayazingatie, nyie ni wa kuogopwa sana, asijichanganye.
Kwani humu siwezi kupata wa kunioa?ungeolewa kwanza na join hapa lasivyo sahau maisha ya ndoa ukiwa hapa JF...........
Wee kenge acha kudandia train kwa mbele.Uongooo uongooo huoooo, hizo ni uongoooo
Kulikoni tena?Karibu sana, tuna JAMVI LA WANAWAKE tafuta nyuzi zake uzisome, zaidi ya hapo, ogopa wanaume wa humu JF kama ukoma.
Mweeee so unapenda mtulinga wakuisambaratisha mbususuSiyo kweli sisi tunapenda yaliyojazia 😁
Sawa na mimi nanyamaza kakaHukohuko... Tuishie hapahapa sababu kuna watoto humu 😊
wanakanda tu kidonda ndugu hichoKwani humu siwezi kupata wa kunioa?
Utamchanganya tu mtoto wa watu, hebu muacheni bado mgeni!Mshangazi dot com usicheke! Nakuuliza hutaki wifi? Maana naona hutaki mtoto wa kisukuma apewe vitu vya pwani
Mtulinga wa kusambaratisha ndio ukoje.Mweeee so unapenda mtulinga wakuisambaratisha mbususu