Si wote wa hapahapa nyanza au galolayaHuu mwandiko sio mpya hapa mjini š ila karibu.
Si wote wa hapahapa nyanza au galolayaHuu mwandiko sio mpya hapa mjini š ila karibu.
Kumbe ushindani ni mkali sana...huko wasukuma wanataka ngombe ngapi?Wajameni humu JF kuna waowaji wengi sana, wewe ni mtu wa tatu leo unataka kuniwowa.
Karibu nyumbani kwa wazazi
Sikujua kama kuna wakikuyu Tanzania, unatokea mkoa gani?Swali zuri, mimi ni mkikuyu mkuu.
Mimi niko Nyasaka, basi nitawatembelea pia kaka zangu!Si wote wa hapahapa nyanza au galolaya
Basi karibu sana Getto kwangu hapa jf.Kawaida tu š
Sawa dada nimekusikiaUtanikamatia wapi mdogo akeee š¤£š¤£š¤£
Kashtaki waje wafute š
Nesi kungwi akija DM huyo usimruhuru hata akutongoze we mkatalie tu, hana lolote ni jobless wa kitanga š mapenzi yake yana masharti, we msukuma huyawezi.
Asante kwa kunikaribishaNilitaka nikuombe tumkaribishe dada yakoš¤£
Ng'ombe kumi na tano (10 majike)Kumbe ushindani ni mkali sana...huko wasukuma wanataka ngombe ngapi?
Kaka zako tena, uoni unaondoa priorityMimi niko Nyasaka, basi nitawatembelea pia kaka zangu!
Nakufundisha hili na ulizingatieHabari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye.
Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula, kusafiri, siasa, kufahamu masuala ya kijamii, maisha, habari za mapenzi nakujifunza mambo mapya. Nimekua nikifuatilia jukwaa kwa muda mrefu kama guest ila sasa nimeamua kujiunga.
Je una lolote la kunifunza? njoo unikaribishe!
Hizi mbususu zimepanda bei To yeyeNg'ombe kumi na tano (10 majike)
Mpaka tinder unaijua, acha wajichanganyeMbona maswali mengi kama nimeingia Tinder
Wenye Access hiyo ni sisi pekeeAaanha sawa, kwahiyo nyinyi ndiyo watongozaji maalum wa JF?
Bwana hizi kenge zinataja tuu ngombe 15 wee mil 15 kisa mbususu mweee!mzabzab kwani ng'ombe 15 ni kama shingapi? Utoe wote hao then kiba100 chako kielee ni upotevu wa rasilimali š¤£š¤£š¤£
Ah wee ngombe 15 kwa mbususu ya kenge gani....wacha nitulie na mlenda wanguš¤£š¤£š¤£Mambo yako hayo,komaa nayo mkuu
Piga picha kiganja Cha mkono wako unitumie nikwambie bahati yakoHabari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye.