Naomba mnipokee na mnifunze binti yenu wa usukumani

Habari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye.

Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula, kusafiri, siasa, kufahamu masuala ya kijamii, maisha, habari za mapenzi nakujifunza mambo mapya. Nimekua nikifuatilia jukwaa kwa muda mrefu kama guest ila sasa nimeamua kujiunga.

Je una lolote la kunifunza? njoo unikaribishe!
Karibu sana dadetu
 
Yaani umejiunga ijumaa Leo siku ya nne tayari una posts 75 na points 125, we ni WA moto aisee. Sijui kama Kwa bed 🛏️ nitakuweza.
 
Wandugu wa JF wamekua wakarimu sana kwa kunikaribisha kwa upendo mkuu.
Kwa bed ataniweza mume wangu ambaye bado namtafuta, Sishiriki ngono kabla ya ndoa
 
Back
Top Bottom