Masharti yako ni yapi?ntakuambia endapo utaweza mashart yangu
Masharti nimeshindwa, nitoe namba ya wazazi hata jina wala sura sikufahamu.nipe kwanza namba za wazazi wako
ww ulitaka nikuambie kazi yangu,ambapo sijui sura yako wala .......yakoMasharti nimeshindwa, nitoe namba ya wazazi hata jina wala sura sikufahamu.
Kazi ni taarifa ya umma, kama ambavyo mimi unajua ni nesiww ulitaka nikuambie kazi yangu,ambapo sijui sura yako wala .......yako
ww nesi umeweka kama id na sio kaziKazi ni taarifa ya umma, kama ambavyo mimi unajua ni nesi
Ndiyo kazi na taaluma yangu, siyo jambo la siriww nesi umeweka kama id na sio kazi
ok,kama ni ivo kweli ww ni zaidi ya uaminifu,coz you are transparent,nakutogwa gete wa kukaya.Ndiyo kazi na taaluma yangu, siyo jambo la siri
Wabheja, ule ba kokayaok,kama ni ivo kweli ww ni zaidi ya uaminifu,coz you are transparent,nakutogwa gete wa kukaya.
ehee mayuWabheja, ule ba kokaya
Basi sawa, haya lete masharti yako mengine sasaehee mayu
No let's we make secrets,ni pmBasi sawa, haya lete masharti yako mengine sasa
SawaNo let's we make secrets,ni pm
okSawa
Imebadilika tena, kuna kitu chochote napata?Jiiite mwenye Bahati,kuanza tuu na kuitwa senior member, utakuwa Pia senior Nabii!
Asante sana, ila nina maswali labda wewe mzoefu wa zamani unaweza kunijibu.Karibu sana JamiiForums...
Asante sana, ila nina maswali labda wewe mzoefu wa zamani unaweza kunijibu.
- Namna ya kufuta nyuzi kama nimekosea
- Namna ya kumblock mtu humu ndani kama akiniboa
Hii sijawahi ichunguza, ila naamini anayeanzisha uzi ana uwezo wa kufanya hivyo.
- Kwanini nyuzi zingine kichwa cha habari kimekolea na nyingine hakijakolea?
- Je meseji za huko DM zina usiri au zinaweza kusomwa na wanaomiliki JF au mamodeleta?
Tuliho ng'wanike.Habari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye.
Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula, kusafiri, siasa, kufahamu masuala ya kijamii, maisha, habari za mapenzi nakujifunza mambo mapya. Nimekua nikifuatilia jukwaa kwa muda mrefu kama guest ila sasa nimeamua kujiunga.
Je una lolote la kunifunza? njoo unikaribishe!