Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
- Thread starter
- #161
Hapana mimi ni mgeni 🤭 😁, nimejiunga ijumaa iliyopitaInaonyesha ni mkongwe humu,Labda umebadili ID!
Hapana mimi ni mgeni 🤭 😁, nimejiunga ijumaa iliyopitaInaonyesha ni mkongwe humu,Labda umebadili ID!
Zaidi ya watatu tena in a very very strong relationship.Umeshakua na wanawake wangapi wa sekta ya afya?
Jiiite mwenye Bahati,kuanza tuu na kuitwa senior member, utakuwa Pia senior Nabii!Hapana mimi ni mgeni 🤭 😁, nimejiunga ijumaa iliyopita
Haya sawa, labda umeandikiwa sisi manesiZaidi ya watatu tena in a very very strong relationship.
Asante sikujua kama kuna madaraja humuJiiite mwenye Bahati,kuanza tuu na kuitwa senior member, utakuwa Pia senior Nabii!
Ni zamu yako sasaHaya sawa, labda umeandikiwa sisi manesi
Mimi masharti yangu nishakuambiaNi zamu yako sasa
Umeniambia wapi? HapaMimi masharti yangu nishakuambia
Ndiyo, sishiriki mapenzi kabla ya ndoa na mahari ng'ombe 15Umeniambia wapi? Hapa
Hizo ng'ombe 15 si bora nigeuze mtajiNdiyo, sishiriki mapenzi kabla ya ndoa na mahari ng'ombe 15
Sawa, fanya hivyo ila pia unaweza kwenda kuzungumza na wazee wakupunguzie, wakikupenda utaambiwa hata ng'ombe 9 😆😆😆😆Hizo ng'ombe 15 si bora nigeuze mtaji
Wanipende tena 😂Sawa, fanya hivyo ila pia unaweza kwenda kuzungumza na wazee wakupunguzie, wakikupenda utaambiwa hata ng'ombe 9 😆😆😆😆
Haya Nesi Kungwi!Asante sikujua kama kuna madaraja humu
Najua vingi, kama una msichana wako unataka nimfunze kama kungwi, naweza pia
Wabheja kulumba mayoWabheja mno
Asante kwa kuniambia, unatafuta mke au unataka hao ambao Dar wanawaita sijui sex friendNipo single pia sijui hujapata taarifa?
Asante sana, wewe unafanya kazi gani?Aise napenda sana mwanamke nesi,coz hawana wivu