Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Kwanini unajiita nesi kungwi? Jina n lakimarekani ila jichanganye ujuteKwanini unajiita mumarekani sasa 😀?
Kwanini unajiita nesi kungwi? Jina n lakimarekani ila jichanganye ujuteKwanini unajiita mumarekani sasa 😀?
Mke kabisa weweNiko kati ya 22 na 26
Karibu nyumbani kwa wazaziMke kabisa wewe
Kwa sababu hizo ni kazi zangu.Kwanini unajiita nesi kungwi? Jina n lakimarekani ila jichanganye ujute
Muulize kama kuonja kabla ya kuoa imo au niaje🤣Mke kabisa wewe
Hiyo imo ikigoma tunatumia makarabrasha 😂Muulize kama kuonja kabla ya kuoa imo au niaje🤣
Hapana, sishiriki ngono kabla ya ndoaMuulize kama kuonja kabla ya kuoa imo au niaje🤣
Basi vyema na nilivyo na nyota na watu wa afya nahisi keka lishatikiKwa sababu hizo ni kazi zangu.
Nachoma sindano na huwa nasaidia makungwi wazoefu kwenye kitchen party zetu.
asante ila mitambo ikaguliwe kwanzaKaribu nyumbani kwa wazazi
Uongo, kwamba hadi sasa we ni bikra?Hapana, sishiriki ngono kabla ya ndoa
Sawa michembe ipo mezani jisevieAsante sana, nimekaribia
Umeshakua na wanawake wangapi wa sekta ya afya?Basi vyema na nilivyo na nyota na watu wa afya nahisi keka lishatiki
Itakuwa ngumu sana kwa vijana wa kizazi hiki!Hapana, sishiriki ngono kabla ya ndoa
Hiyo senior member,imenitisha!Habari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye.
Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula, kusafiri, siasa, kufahamu masuala ya kijamii, maisha, habari za mapenzi nakujifunza mambo mapya. Nimekua nikifuatilia jukwaa kwa muda mrefu kama guest ila sasa nimeamua kujiunga.
Je una lolote la kunifunza? njoo unikaribishe!
Wabheja mnoSawa michembe ipo mezani jisevie
Tofauti yake ni nini?Hiyo senior member,imenitisha!
Asante sana kakaKaribu sana mama shughuli Nesi kungwi
Inaonyesha ni mkongwe humu,Labda umebadili ID!Tofauti yake ni nini?
Mimi nimeona imebadilika tu yenyewe