Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
- Thread starter
- #101
Ndio wasukuma tunaambiwaga ni washamba, ila kweli mimi mkazi wa miini nisijue Tinder?Mpaka tinder unaijua, acha wajichanganye
Ndio wasukuma tunaambiwaga ni washamba, ila kweli mimi mkazi wa miini nisijue Tinder?Mpaka tinder unaijua, acha wajichanganye
Sio mimiHuyu sio binti sayuni kweli?
Najua vingi, kama una msichana wako unataka nimfunze kama kungwi, naweza pia 😅😅😅Wanaomchukulia poa huyu dada msukuma mnajidanganya mpaka TINDER anaijua msijichanganye
Mmmh usiombe tu hela, miye sina!Piga picha kiganja Cha mkono wako unitumie nikwambie bahati yako
Watu wanatoaAh wee ngombe 15 kwa mbususu ya kenge gani....wacha nitulie na mlenda wangu
Tumeshakubaliana mahari ikizidi sana ni 1m, kwa kabinti kana 18yrs kametunzwa vizuri hata ikizidi kidogo ni sawa tu.Bwana hizi kenge zinataja tuu ngombe 15 wee mil 15 kisa mbususu mweee!
Kabisa kabisaTumeshakubaliana mahari ikizidi sana ni 1m, kwa kabinti kana 18yrs kametunzwa vizuri hata ikizidi kidogo ni sawa tu.
Hawajielewi hao....akili hawana🤣🤣🤣Watu wanatoa
Koo limekusimama ghaflaa😆Uongooo uongooo huoooo, hizo ni uongoooo
Kenge mwenyeweeeee💃Wee kenge
Kwamba wasukuma mnapenda matango, kwa hiyo sie wenye bamiaz hatuna nafasi ?Uongooo uongooo huoooo, hizo ni uongoooo
Mtu anapigwa sio mda sana🤣🤣🤣Mmmh usiombe tu hela, miye sina!
View attachment 3304826
We sio mgeni napata mashakaNdio wasukuma tunaambiwaga ni washamba, ila kweli mimi mkazi wa miini nisijue Tinder?
Unaonelana ni tall pia una bahatiMmmh usiombe tu hela, miye sina!
View attachment 3304826
Khee uzinzi tu😄Unaonelana ni tall pia una bahati
Huyo ni ng'ombe mmoja, huku usukumani ukipeleka ng'ombe mmoja ni sawa na umeamua kuwatukana wakwe zakohTumeshakubaliana mahari ikizidi sana ni 1m, kwa kabinti kana 18yrs kametunzwa vizuri hata ikizidi kidogo ni sawa tu.
Usipate mashaka mumarekani?We sio mgeni napata mashaka
Aaaah wapi, maboya tu ndio wanalipishwa mahari kubwa namna hiyo.Huyo ni ng'ombe mmoja, huku usukumani ukipeleka ng'ombe mmoja ni sawa na umeamua kuwatukana wakwe zakoh
Ni mila na tamaduni kakaAaaah wapi, maboya tu ndio wanalipishwa mahari kubwa namna hiyo.