makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,482
- 5,138
Hutaki ambiwe amerogwa!Utamchanganya tu mtoto wa watu, hebu muacheni bado mgeni!
Ntamuheshimu
Ntamstiri
Ntamlinda!
Ntamthamini!
Tutasoma nae Neno la Mungu, na Kuomba nae Tenzi za Rohoni,
Nitacheza nae kikia cha pweza! Mama chanja mama chanja, mwenzi njaa inaumaa.
Bado tu hutaki wifi? Nimlete nyumbani weekend,? Nimepikie wali wa Nazi na samaki wa kupara