Naomba mnipokee na mnifunze binti yenu wa usukumani

Naomba mnipokee na mnifunze binti yenu wa usukumani

Habari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye.

Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula, kusafiri, siasa, kufahamu masuala ya kijamii, maisha, mapenzi nakujifunza mambo mapya. Nimekua nikifuatilia jukwaa kwa muda mrefu kama guest ila sasa nimeamua kujiunga.

Je una lolote la kunifunza? njoo unikaribishe!
Gawiza mayo,olemola ,kinehe
 
Back
Top Bottom