Mtunza siri zako
JF-Expert Member
- Apr 11, 2025
- 586
- 975
Wabheja sana 🙏Karibu mayo
Karibu Dar nikufundishe jinsi ya kupita kwenye fly overHabari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye.
Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula, kusafiri, siasa, kufahamu masuala ya kijamii, maisha, mapenzi nakujifunza mambo mapya. Nimekua nikifuatilia jukwaa kwa muda mrefu kama guest ila sasa nimeamua kujiunga.
Je una lolote la kunifunza? njoo unikaribishe!
Karibu sana.. kumbuka tu "The closer you look.. the less you see".Habari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye.
Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula, kusafiri, siasa, kufahamu masuala ya kijamii, maisha, mapenzi nakujifunza mambo mapya. Nimekua nikifuatilia jukwaa kwa muda mrefu kama guest ila sasa nimeamua kujiunga.
Je una lolote la kunifunza? njoo unikaribishe!
Hujatoa wajihi wako, je ni mrefu wembamba, mfupi mnene, maji ya kunde au mweupe una tako au la. Kama vp weka picha tu judge wenyeweHabari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye.
Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula, kusafiri, siasa, kufahamu masuala ya kijamii, maisha, mapenzi nakujifunza mambo mapya. Nimekua nikifuatilia jukwaa kwa muda mrefu kama guest ila sasa nimeamua kujiunga.
Je una lolote la kunifunza? njoo unikaribishe!
Sawa,nami nipo mwanza karibuHabari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye.
Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula, kusafiri, siasa, kufahamu masuala ya kijamii, maisha, mapenzi nakujifunza mambo mapya. Nimekua nikifuatilia jukwaa kwa muda mrefu kama guest ila sasa nimeamua kujiunga.
Je una lolote la kunifunza? njoo unikaribishe!
walikutenda?Karibu sana, tuna JAMVI LA WANAWAKE tafuta nyuzi zake uzisome, zaidi ya hapo, ogopa wanaume wa humu JF kama ukoma.
Mwenye Access ya kutongoza na kukubalia bila mashart yoyote yake ni Mimi pekee yangu. Nikiwa offline basi mikoba yangu hubebwa na Mzee wa kupambania BasiHabari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye.
Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula, kusafiri, siasa, kufahamu masuala ya kijamii, maisha, mapenzi nakujifunza mambo mapya. Nimekua nikifuatilia jukwaa kwa muda mrefu kama guest ila sasa nimeamua kujiunga.
Je una lolote la kunifunza? njoo unikaribishe!
Asante, sijawahi kufika ira nitakuja siku mojaKaribu Dar nikufundishe jinsi ya kupita kwenye fly over
Kapicha natenakoKapicha kidogo tukuone ng'wanike
Asante sana dadaKaribu sana, tuna JAMVI LA WANAWAKE tafuta nyuzi zake uzisome, zaidi ya hapo, ogopa wanaume wa humu JF kama ukoma.
Ukitaka kuniwahi uje utoe mahari nyumbani kwetuNimeshakuwahi, ole wako umkubalie kijana mwingine wa JF, kama huelewi chocho usiweke chapisho bali unifuate PM Ili tuyajenge.