Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nina boyfriend wangu ni muha naomba mnisaidie kunifahamisha tabia za wanaume wa kiha kiundani.
Ombi lako ni gumu kulipatia ufumbuzi kwa vile unataka kujua tabia za wanaume na si mwanaume wa kiha. Tabia za mtu pamoja na kuathiriwa na kufinyangwa na mila zake, ni tofauti baina ya mtu na mtu. Hivyo si rahisi kupata mtu anayewajua wanaume wa kiha isipokuwa Mungu. Wewe ndiye unayemjua huyo BF wako kuliko sisi. Na isitoshe mapenzi huwa hayana kabila wala rangi. Hivyo ni jukumu lako kutafuta jibu la swali lako. Hata tukikupa msaada hautakusaidia kupata unachopaswa kupata. Nadhani hii itakusaidia.
nina boyfriend wangu ni muha naomba mnisaidie kunifahamisha tabia za wanaume wa kiha kiundani.
nina boyfriend wangu ni muha naomba mnisaidie kunifahamisha tabia za wanaume wa kiha kiundani.
Wameaga kwao, watakufa kwa mpango wa Mungu na yoyote atakaye waua hata Panya nyumbani kwao hatasalimika. Source: Zuberi Zitto Kabwe
Upo bibie, wewe kupotea sana, mimi kukumisigi hapa kwa jamvini
Upo bibie, wewe kupotea sana, mimi kukumisigi hapa kwa jamvini
TUKO HAPA TENA! Kaunga come zis wey huwezi kukaa muda wote huko af ushindwe kutupiemo maujanja!
kapata mwanaume wa kiha!
wanyamwezi amewachoka na upole wao!
ahahhahahhahahhah :fencing:
hahahaahhahhahahhahaha we unajua unavonikosha mie!na walahi wala huachi kunipa raha!ahahahhahahhah bure kabisa wewe!Muha wa wapi? Kibondo, Kasulu, Manyovu, Ujiji, Mwambao wa Ziwa au wa Nguruka?
Aliyelelewa Kikristu, Kiislamu au Kimila?
Kama kikristu, kikatoliki? Protestant? Kisabato au Kilokole?
Aliyetoka kwa familia iliyoenda shule, wafanya biashara, wakulima wa kahawa, michikichi au Kilimo cha kujikimu?
Aliyekulia Uhani au mikoani au nchi za nje?
Aliyesoma au hajasoma?
Mwambie Joy a-narrow down ili nimpe tabia za huyo mchuchu kwa usahihi; otherwise naweza mpa tabia za Mchaga kuliko Muha!
nina boyfriend wangu ni muha naomba mnisaidie kunifahamisha tabia za wanaume wa kiha kiundani.