mbona umechelewa ...sio kwamba watakiwa jua tabia kabla hajawa boyfrend?
Ni watu wa maendeleo sana. Hawataki mwanamke mzembe katika maisha. Uwe na adabu na mpenda dini. Ila wana kau dictator kidogo,
Kama unataka kuishi maisha ya mateso milele oana na huyo kijana. Utakuja kuelewa usemi wangu baada ya miaka mingi
Waha wana maubishi yasiyo ya lazima wao lazima washinde tu na imani zao za kishirikina mbele!wakisoma shida tupu na wasiposoma ndio uchawi mbele na ubishi!kazi kwako
Kama unataka kuishi maisha ya mateso milele oana na huyo kijana. Utakuja kuelewa usemi wangu baada ya miaka mingi
nina boyfriend wangu ni muha naomba mnisaidie kunifahamisha tabia za wanaume wa kiha kiundani.
wabishi sana.
nina boyfriend wangu ni muha naomba mnisaidie kunifahamisha tabia za wanaume wa kiha kiundani.