Naomba mnisaidie kupendekeza jina zuri na 'unique' la mtoto wa kiume wa Kiislam

Naomba mnisaidie kupendekeza jina zuri na 'unique' la mtoto wa kiume wa Kiislam

Mkuu kwani ukimuita tu ULIMWENGU au KAZIZOTE, KAZIKUNOGA, SHEMBAGO, KIDUKU, KIDUKULILO, KIGOGO, KAGASHEKI, nk atakuwa sio muslim? nisamehewe kama nimemkwaza mtu...

Umuhimu wa jina la mtoto awe wa kike au kiume lisiwe na maana mbaya kwa jamii. Mfano unampa mtoto jina la 'Shida', Huzuni, Mjinga...... hayo siyo majina mazuri.
 
hakuna jina zuri duniani kama jila la mtume muhhamad (s.a.w) jina muhhamad ni jina bora duniani na mbinguni
 
Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Humayl
 
Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Mwite Hamza
 
Back
Top Bottom