Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Muite Osman. Au HusseinKuna majina nimeyafikiria kama Aaban au Abiy pia naomba ushauri juu ya hayo majina hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muite Osman. Au HusseinKuna majina nimeyafikiria kama Aaban au Abiy pia naomba ushauri juu ya hayo majina hapo
Napishana na wewe ,usiseme la kiislam sema la kiarabu. Tumekuwa watumwa wa tamaduni za watu. Huko arabuni kuna makanisa na wakiristo wa arabuni ndio akina Hamza , Sharif n.k.Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Muite Furaha sababu umefurahia ujio wakeWanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Hakuna jina la kikristo elimika bro Acha utumwa wa nafasi yako mwenyewe.Dah! Hili hersy nilijua la kikristo ila la ukweli sana
Sifa ya majina ujue maana yakeMalik ni sifa ya Mungu binadam ataitwa AbdulMaliQ
Hamza
.Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Well saidmajina mazuri ya mababu zenu, walio waleta dunian, hamuyataki, mmekazana na majina ya jamii za mbali ambazo hata dini zao haziwatambui[emoji23][emoji23]..shame on you, mambo mengine mnayafanya baht mbaya kwakujua ama kutokujua, effects zake ni kwa watoto hao, wanakosa baraka za maisha sabbu ya imani,
wanakosa baraka sabbu ya kuwapa utambulisho feki, ambao wamiliki wa huo utambulisho kiroho hawawatambui, nishasemaga hapa, Mungu mgeni hawez kukubariki kama wew upo nje ya jamii na tamaduni ya wahasisi wa iyo imani, nikatokea mfano kwa wakikristo, kuna hao mayahud mnaosema wamebarikiwa baraka toka kwa ibrahimu, na ili uwe sehem ya baraka izo lzma uwe muisrael, au ufanye jambo fulan fulan ndpo utazpata, ukikosea utaangaika kuwa fukara kama hawa walokole mitaani na hutopata kitu, maana umeingilia imani ya tamaduni ilyo nje yako, na hutambulik.
nilingelea pia hata kwa islamic ni hivyo hivyo, yaan ukitaka uwe recognized na hiyo iman, unakuta mtu kabadirishiwa mpak jina lake na kupewa jina la watu wa uko uarabuni[emoji23][emoji23] kuonesha kuwa kwa uhalisia wako, [emoji117]hutambuliki mpka ufanye mambo fulan fulan ndpo miungu ya jamii hiyo itakukubali.
nachotaka kusema ni kuwa, jmn tupende vya kwetu, utumwa ulikwisha, izo imani za kuiga iga si nzur hata ushahid upo, ni bora ukampa mtoto hata jina la kiswahili ambalo unajua maana yake, nikwambie tu ukweli kila jina lina maana yake kwa kugha yake tuu FULL STOP, ndiomaana majina ya wahindi,wachina na wakorea hutoona yakibadirishwa sabb ya lugha ili kuendana na maana ya jamii fulan lkn yanaweza kutafsiliwa yanamaanusha nini kwa lugha ya sehem husika lkn si kubadirishwa, ndiomaana hutoona jina la Muhammad likiitwa kwa kingereza wala lugha yyte, zais ya asili yake.
tabia ya kubadir majina kulingana na eneo, wanayo watu wa magharib naUSA napo walianza kufanya il kuficha na kubadiri uhusika wa historia za jamii fulani.
wote mnaobeza haya mambo, mjue mnamkosea Muumba kwa kuikataa asili yenu na kukumbatia upumbv wa ugeni ambao hata hauna maana
ukwel mchungu huu ushaur ukiuzingatia nakuhakikishia uyo mtoto wako atakuja kuwa mtu muhimu sana kwenye jamii, lkn ukipenda kuiga iga, ndyo hayo mnapata watot wenye tabia za akina, aisha, john mkabaji, muhamed mbakaji, musa mpiga ramli, yoshua mla wake za watu, ibrahimu tapeli, grace malaya, khareem mwizi, alhaji jambazi, Aziza tapel wa waume zawatu, magret mtoa mimba, na takataka zngnizo, we niletee jinalolote llenye asili ya hao watu nami nikuletee maana yake kulngana na wahasisi wa hayo majina.
kuweni wazalendo, utumwa wa akili ushafika mwisho, kama wao hawawez tumia jina la babu yako, why ww utumie yakwao??
ukweli mchunguView attachment 1970337
Huyo mtoto atakua rafiki yake sirro[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daaahh mimi nimepata wa kiume juzi kati hapa nikampa jina la adden hili nalitumia hapa!!huku mimi hili ndio jina languMalick
Nchi ina vijana wa hovyo sana hiiTaliban
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamza
Kwako jina la kipekee ni lipi hasa ?Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana