majina mazuri ya mababu zenu, walio waleta dunian, hamuyataki, mmekazana na majina ya jamii za mbali ambazo hata dini zao haziwatambui[emoji23][emoji23]..shame on you, mambo mengine mnayafanya baht mbaya kwakujua ama kutokujua, effects zake ni kwa watoto hao, wanakosa baraka za maisha sabbu ya imani,
wanakosa baraka sabbu ya kuwapa utambulisho feki, ambao wamiliki wa huo utambulisho kiroho hawawatambui, nishasemaga hapa, Mungu mgeni hawez kukubariki kama wew upo nje ya jamii na tamaduni ya wahasisi wa iyo imani, nikatokea mfano kwa wakikristo, kuna hao mayahud mnaosema wamebarikiwa baraka toka kwa ibrahimu, na ili uwe sehem ya baraka izo lzma uwe muisrael, au ufanye jambo fulan fulan ndpo utazpata, ukikosea utaangaika kuwa fukara kama hawa walokole mitaani na hutopata kitu, maana umeingilia imani ya tamaduni ilyo nje yako, na hutambulik.
nilingelea pia hata kwa islamic ni hivyo hivyo, yaan ukitaka uwe recognized na hiyo iman, unakuta mtu kabadirishiwa mpak jina lake na kupewa jina la watu wa uko uarabuni[emoji23][emoji23] kuonesha kuwa kwa uhalisia wako, [emoji117]hutambuliki mpka ufanye mambo fulan fulan ndpo miungu ya jamii hiyo itakukubali.
nachotaka kusema ni kuwa, jmn tupende vya kwetu, utumwa ulikwisha, izo imani za kuiga iga si nzur hata ushahid upo, ni bora ukampa mtoto hata jina la kiswahili ambalo unajua maana yake, nikwambie tu ukweli kila jina lina maana yake kwa kugha yake tuu FULL STOP, ndiomaana majina ya wahindi,wachina na wakorea hutoona yakibadirishwa sabb ya lugha ili kuendana na maana ya jamii fulan lkn yanaweza kutafsiliwa yanamaanusha nini kwa lugha ya sehem husika lkn si kubadirishwa, ndiomaana hutoona jina la Muhammad likiitwa kwa kingereza wala lugha yyte, zais ya asili yake.
tabia ya kubadir majina kulingana na eneo, wanayo watu wa magharib naUSA napo walianza kufanya il kuficha na kubadiri uhusika wa historia za jamii fulani.
wote mnaobeza haya mambo, mjue mnamkosea Muumba kwa kuikataa asili yenu na kukumbatia upumbv wa ugeni ambao hata hauna maana
ukwel mchungu huu ushaur ukiuzingatia nakuhakikishia uyo mtoto wako atakuja kuwa mtu muhimu sana kwenye jamii, lkn ukipenda kuiga iga, ndyo hayo mnapata watot wenye tabia za akina, aisha, john mkabaji, muhamed mbakaji, musa mpiga ramli, yoshua mla wake za watu, ibrahimu tapeli, grace malaya, khareem mwizi, alhaji jambazi, Aziza tapel wa waume zawatu, magret mtoa mimba, na takataka zngnizo, we niletee jinalolote llenye asili ya hao watu nami nikuletee maana yake kulngana na wahasisi wa hayo majina.
kuweni wazalendo, utumwa wa akili ushafika mwisho, kama wao hawawez tumia jina la babu yako, why ww utumie yakwao??
ukweli mchungu
View attachment 1970337