Naomba mnisaidie kupendekeza jina zuri na 'unique' la mtoto wa kiume wa Kiislam

Astaghafirullahi hivi watu mnaoendekeza mizimu ya mababu bado mpo? Nilidhani mmeisha
Allah awape hidaya muachane na hayo maajabu
 
ABDULZAYD
ABDULSHAKOOR
IKRAM
AKRAM
MAHFOUDH
ALHUZAYMAH
 
Hili ni darasa tosha sana mkuu, ubarikiwe sana
 
Ukasha/Okasha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bwana ukasha alioa na pia aliolewa Huyu na akazaa watoto enzi za bwana mtume Muhammad s.a.w kisa chake mpaka akaolewa kinanifurahisha sanaaa
 
Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Kwanza hongera kwa baraka za Mwenyezi Mungu.. Iwe ni kwako wewe au hata kwa ndugu ay jamaa yako.

Maswala ya majina ni maswala ya kiimani sana.. ni maswala ya mtoto huyo na wazazi, jamii na Mungu. Ni swala la alikotoka na anakokwenda.. ni swala la wakati na muda zaidi sio swala la aliye mzaa Ila aliyeZAliwa..

Tusiwe wabinafsi.. tusitaka sifa zetu au kupendezeaha nafasi zetu kama wazazi.. majina tinayowapa watoto yaakisi heshima, rehema na shukrani kwa mwenyezi Mungu. Usimpe mtoto jina kwa sababu Dunia inayokuzunguka inadhani jina Hilo ni cool.. Wala usimpe jina kwa sababu wewe mzazi unadhani ni jina unique... Mpe jina kwa sababu unalielewa kile jina Hilo linachobeba ni uhai, mafanikio, utu na furaha kwa mtoto na wanaomzunguka.
 
Astaghafirullahi hivi watu mnaoendekeza mizimu ya mababu bado mpo? Nilidhani mmeisha
Allah awape hidaya muachane na hayo maajabu
kama hao wakina abdul, sjui wakina Bin Jaffar wasingekuja afrika, mngemjua uyo Allah? acha ujinga wew fuatilia historia yako usiwe bendera fuata upepo, Mungu wa kweli haitaj nabii wala mtume wa kueneza imani yake, sehem ya mbali na eneo lako, anamuinua yeyote anayejua shida zako..endelea kuwatukuza hao watu..ende of day utaambulia zero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…