Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Mkuu acha maskhara basMkuu usiumize kichwa sana muite tu Anas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha maskhara basMkuu usiumize kichwa sana muite tu Anas
"KOLONGONDO"Yaani lisiwe popular / common sana
Astaghafirullahi hivi watu mnaoendekeza mizimu ya mababu bado mpo? Nilidhani mmeishamajina mazuri ya mababu zenu, walio waleta dunian, hamuyataki, mmekazana na majina ya jamii za mbali ambazo hata dini zao haziwatambui[emoji23][emoji23]..shame on you, mambo mengine mnayafanya baht mbaya kwakujua ama kutokujua, effects zake ni kwa watoto hao, wanakosa baraka za maisha sabbu ya imani,
wanakosa baraka sabbu ya kuwapa utambulisho feki, ambao wamiliki wa huo utambulisho kiroho hawawatambui, nishasemaga hapa, Mungu mgeni hawez kukubariki kama wew upo nje ya jamii na tamaduni ya wahasisi wa iyo imani, nikatolea mfano kwa wakikristo, kuna hao mayahud mnaosema wamebarikiwa baraka toka kwa ibrahimu, na ili uwe sehem ya baraka izo lzma uwe muisrael, au ufanye jambo fulan fulan ndpo utazpata, ukikosea utaangaika kuwa fukara kama hawa walokole mitaani na hutopata kitu, maana umeingilia imani ya tamaduni ilyo nje yako, na hutambulik.
niliongelea pia hata kwa islamic ni hivyo hivyo, yaan ukitaka uwe recognized na hiyo iman, unakuta mtu kabadirishiwa mpak jina lake na kupewa jina la watu wa uko uarabuni[emoji23][emoji23] kuonesha kuwa kwa uhalisia wako, [emoji117]hutambuliki mpka ufanye mambo fulan fulan ndpo miungu ya jamii hiyo itakukubali.
nachotaka kusema ni kuwa, jmn tupende vya kwetu, utumwa ulikwisha, izo imani za kuiga iga si nzur hata ushahid upo, ni bora ukampa mtoto hata jina la lolote lenye asili ya afrika(black people) ama jina la kiswahili ambalo unajua maana yake, nikwambie tu ukweli kila jina lina maana yake kwa kugha yake tuu FULL STOP, ndiomaana majina ya wahindi,wachina na wakorea hutoona yakibadirishwa sabb ya lugha ili kuendana na maana ya jamii fulan lkn yanaweza kutafsiliwa yanamaanisha nini kwa lugha ya sehem husika lkn si kubadirishwa, ndiomaana hutoona jina la Muhammad likiitwa kwa kingereza wala lugha yyte, zaid ya asili yake.
tabia ya kubadir majina kulingana na eneo, wanayo watu wa magharib na USA napo walianza kufanya il kuficha na kubadiri uhusika wa historia za jamii fulani.
wote mnaobeza haya mambo, mjue mnamkosea Muumba kwa kuikataa asili yenu na kukumbatia upumbv wa ugeni ambao hata hauna maana.
ukwel mchungu huu ushaur ukiuzingatia nakuhakikishia uyo mtoto wako atakuja kuwa mtu muhimu sana kwenye jamii, lkn ukipenda kuiga iga, ndyo hayo mnapata watot wenye tabia za akina, aisha, john mkabaji, muhamed mbakaji, musa mpiga ramli, yoshua mla wake za watu, ibrahimu tapeli, grace malaya, khareem mwizi, alhaji jambazi, Aziza tapel wa waume zawatu, magret mtoa mimba, na takataka znginezo,
we niletee jinalolote lenye asili ya hao watu nami nikuletee maana yake kulngana na wahasisi wa hayo majina.
kuweni wazalendo, utumwa wa akili ushafika mwisho, kama wao hawawez tumia jina la babu yako, why ww utumie yakwao??
ukweli mchunguView attachment 1970337
Uuuwiiii!Nassibu Abdull
Huwa wasalitTaariq
Hili ni darasa tosha sana mkuu, ubarikiwe sanamajina mazuri ya mababu zenu, walio waleta dunian, hamuyataki, mmekazana na majina ya jamii za mbali ambazo hata dini zao haziwatambui[emoji23][emoji23]..shame on you, mambo mengine mnayafanya baht mbaya kwakujua ama kutokujua, effects zake ni kwa watoto hao, wanakosa baraka za maisha sabbu ya imani,
wanakosa baraka sabbu ya kuwapa utambulisho feki, ambao wamiliki wa huo utambulisho kiroho hawawatambui, nishasemaga hapa, Mungu mgeni hawez kukubariki kama wew upo nje ya jamii na tamaduni ya wahasisi wa iyo imani, nikatolea mfano kwa wakikristo, kuna hao mayahud mnaosema wamebarikiwa baraka toka kwa ibrahimu, na ili uwe sehem ya baraka izo lzma uwe muisrael, au ufanye jambo fulan fulan ndpo utazpata, ukikosea utaangaika kuwa fukara kama hawa walokole mitaani na hutopata kitu, maana umeingilia imani ya tamaduni ilyo nje yako, na hutambulik.
niliongelea pia hata kwa islamic ni hivyo hivyo, yaan ukitaka uwe recognized na hiyo iman, unakuta mtu kabadirishiwa mpak jina lake na kupewa jina la watu wa uko uarabuni[emoji23][emoji23] kuonesha kuwa kwa uhalisia wako, [emoji117]hutambuliki mpka ufanye mambo fulan fulan ndpo miungu ya jamii hiyo itakukubali.
nachotaka kusema ni kuwa, jmn tupende vya kwetu, utumwa ulikwisha, izo imani za kuiga iga si nzur hata ushahid upo, ni bora ukampa mtoto hata jina la lolote lenye asili ya afrika(black people) ama jina la kiswahili ambalo unajua maana yake, nikwambie tu ukweli kila jina lina maana yake kwa kugha yake tuu FULL STOP, ndiomaana majina ya wahindi,wachina na wakorea hutoona yakibadirishwa sabb ya lugha ili kuendana na maana ya jamii fulan lkn yanaweza kutafsiliwa yanamaanisha nini kwa lugha ya sehem husika lkn si kubadirishwa, ndiomaana hutoona jina la Muhammad likiitwa kwa kingereza wala lugha yyte, zaid ya asili yake.
tabia ya kubadir majina kulingana na eneo, wanayo watu wa magharib na USA napo walianza kufanya il kuficha na kubadiri uhusika wa historia za jamii fulani.
wote mnaobeza haya mambo, mjue mnamkosea Muumba kwa kuikataa asili yenu na kukumbatia upumbv wa ugeni ambao hata hauna maana.
ukwel mchungu huu ushaur ukiuzingatia nakuhakikishia uyo mtoto wako atakuja kuwa mtu muhimu sana kwenye jamii, lkn ukipenda kuiga iga, ndyo hayo mnapata watot wenye tabia za akina, aisha, john mkabaji, muhamed mbakaji, musa mpiga ramli, yoshua mla wake za watu, ibrahimu tapeli, grace malaya, khareem mwizi, alhaji jambazi, Aziza tapel wa waume zawatu, magret mtoa mimba, na takataka znginezo,
we niletee jinalolote lenye asili ya hao watu nami nikuletee maana yake kulngana na wahasisi wa hayo majina.
kuweni wazalendo, utumwa wa akili ushafika mwisho, kama wao hawawez tumia jina la babu yako, why ww utumie yakwao??
ukweli mchunguView attachment 1970337
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bwana ukasha alioa na pia aliolewa Huyu na akazaa watoto enzi za bwana mtume Muhammad s.a.w kisa chake mpaka akaolewa kinanifurahisha sanaaaUkasha/Okasha
Umar jina la Kiyahudi siyo Kiarabu ☺, Waarabu waliliiba walivyokuwa wanaiba mafundisho ya dini ya Kiyuda.Umar
Kwanza hongera kwa baraka za Mwenyezi Mungu.. Iwe ni kwako wewe au hata kwa ndugu ay jamaa yako.Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Hata Muhammad naye ni mzimu wa KiarabuAstaghafirullahi hivi watu mnaoendekeza mizimu ya mababu bado mpo? Nilidhani mmeisha
Allah awape hidaya muachane na hayo maajabu
kama hao wakina abdul, sjui wakina Bin Jaffar wasingekuja afrika, mngemjua uyo Allah? acha ujinga wew fuatilia historia yako usiwe bendera fuata upepo, Mungu wa kweli haitaj nabii wala mtume wa kueneza imani yake, sehem ya mbali na eneo lako, anamuinua yeyote anayejua shida zako..endelea kuwatukuza hao watu..ende of day utaambulia zeroAstaghafirullahi hivi watu mnaoendekeza mizimu ya mababu bado mpo? Nilidhani mmeisha