Naomba mnisaidie kupendekeza jina zuri na 'unique' la mtoto wa kiume wa Kiislam

Asante sana mkuu kwa somo zuri kiukweli leo najifunza mengi sana kuhusu iman zetu na mambo ya maisha kwa ujumla
 
Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Kama umeipata Furaha muite
Furaha Kiswahil
Happy kingereza
Saeida kiarabu

Lakini usisahau kwenye lugha yako ya asili neno ilo lina tamshi lake

KUMBUKA:JINA HALINA DINI ,JINA NI MAANA

UISLAM haukuelekeza KUWAPA majina watoto ya lugha yoyote Bali UMEEELEKEZA tuwape jina zuri
 
Kuna mcheza mpira mkali sana huko Switzerland analo jina zuri tena la kipekee.

Anaitwa Embolo. Mwite hilo aje kuwa mwanasoccer
 
Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Taliban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…