Naomba mnisaidie kupendekeza jina zuri na 'unique' la mtoto wa kiume wa Kiislam

Naomba mnisaidie kupendekeza jina zuri na 'unique' la mtoto wa kiume wa Kiislam

Kwanza hongera kwa baraka za Mwenyezi Mungu.. Iwe ni kwako wewe au hata kwa ndugu ay jamaa yako.

Maswala ya majina ni maswala ya kiimani sana.. ni maswala ya mtoto huyo na wazazi, jamii na Mungu. Ni swala la alikotoka na anakokwenda.. ni swala la wakati na muda zaidi sio swala la aliye mzaa Ila aliyeZAliwa..

Tusiwe wabinafsi.. tusitaka sifa zetu au kupendezeaha nafasi zetu kama wazazi.. majina tinayowapa watoto yaakisi heshima, rehema na shukrani kwa mwenyezi Mungu. Usimpe mtoto jina kwa sababu Dunia inayokuzunguka inadhani jina Hilo ni cool.. Wala usimpe jina kwa sababu wewe mzazi unadhani ni jina unique... Mpe jina kwa sababu unalielewa kile jina Hilo linachobeba ni uhai, mafanikio, utu na furaha kwa mtoto na wanaomzunguka.
Asante sana mkuu kwa somo zuri kiukweli leo najifunza mengi sana kuhusu iman zetu na mambo ya maisha kwa ujumla
 
Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Kama umeipata Furaha muite
Furaha Kiswahil
Happy kingereza
Saeida kiarabu

Lakini usisahau kwenye lugha yako ya asili neno ilo lina tamshi lake

KUMBUKA:JINA HALINA DINI ,JINA NI MAANA

UISLAM haukuelekeza KUWAPA majina watoto ya lugha yoyote Bali UMEEELEKEZA tuwape jina zuri
 
Kuna mcheza mpira mkali sana huko Switzerland analo jina zuri tena la kipekee.

Anaitwa Embolo. Mwite hilo aje kuwa mwanasoccer
 
Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Taliban
 
Back
Top Bottom